Aah aah aah (Hii baridi eeh) Aah aah aah (Hii baridi eeh) Aah aah aah (The Storyteller eh eh eh) Aah aah aah Hii baridi ni mbaya ah ah Hii baridi eh Nimetetemeka ya kutosha Kuja unikumbatie (oh yoh yoh yoh) Nimejaribu kahawa ah ah Nikajaribu gauge Najua ukikuja utafanya idissapear Shida zangu si za doctor Shida zangu si za vodka Sema leo utatoka na mimi Nitakungoja Shida zangu si za doctor Shida zangu si za vodka Sema leo utatoka na mimi Nitakungoja Sema Nijipange Sema Nijipange Ningependa kukuona leo Tujibambe Tujibambe Sema Nijipange Sema Nijipange Ningependa kukuona leo Tujibambe Tujibambe Aah aah aah aah Aah aah aah aah ♪ Natamani lako joto oh oh Natamani moto (Natamani Moto) Nimetetemeka ya kutosha Njoo unikumbatie Nimejaribu blanketi Moto kwenye fireplace Najua ukikuja Utafanya idissapear Shida zangu si za doctor ah Ama whiskey Je, Niambie utatoka na mimi Nitakungoja Shida zangu si za doctor ah Shida zangu si za vodka Je, Niambie utatoka na mimi Nitakungoja Sema Nijipange Sema Nijipange Ningependa kukuona leo Tujibambe Tujibambe Sema Nijipange Sema Nijipange Ningependa kukuona leo Tujibambe Ooh lord, oooh lord Aah aah aah aah Baby niambie... Aah aah aah aah Ooh Baby niambie Uko down? Uko ready? Njoo tuget busy Uko down? Uko ready? Njoo tuget busy Uko down? Uko ready? Njoo tuget busy Uko down? Uko ready? Njoo tuget busy