Hapa ndani mta-go crazy Ooh mta-go crazy The Storyteller yeah Wasichana wasichana wengi Wanapenda kuniita baby Sijui nani nitampa penzi How can one man find it hard to pick one Ooh oh nikapata wenye minisketi Hawajui jinsi ya kuketi Wakidhani walisha niseti I'm like no no no girl Tena kuna maslay queens Zao designer vibeti Lugha Swahili ni deadly Alafu kuna Nikita ana digida Akizitingiza Hapa ndani mta-go crazy Oh mta-go crazy Alafu kuna Nikita ana digida Akizitingiza Hapa ndani mta-go crazy Oh mta-go crazy Kamare ey, kamare Lemme see your body move to Macakarena (Eeh Makarena waaah) In your way and I'll be right beside yah Yes you are my kinda baby oh Ooh oh nikapata wenye minisketi Hawajui jinsi ya kuketi Wakidhani walisha niseti I'm like no no no girl Tena kuna maslay queens Zao designer vibeti Lugha Swahili ni deadly Alafu kuna Nikita ana digida Akizitingiza Hapa ndani mta-go crazy Oh mta-go crazy Alafu kuna Nikita ana digida Akizitingiza Hapa ndani mta-go crazy Oh mta-go crazy Alafu kuna Nikita ana digida Akizitingiza Hapa ndani mta-go crazy Oh mta-go crazy Alafu kuna Nikita ana digida Akizitingiza Hapa ndani mta-go crazy Oh mta-go crazy