Staki kukuona Staki kukuona na mwingine Kuona na mwingine Staki kukuona Staki kukuona na mwingine Kuona na mwingine Oh jealous I get so jealous Anybody tries to talk you Trying to dance with you Oh jealous Do you get jealous? When the ladies scream at my name I wanna know before it shows That is a human nature I'm not the type to judge Ikifanyika I'm so sorry Don't act upon me girl That is a human nature I'm not the type to judge Ikifanyika I'm so sorry But girl lately Staki kukuona Staki kukuona na mwingine Kuona na mwingine Staki kukuona Staki kukuona na mwingine Kuona na nwnigine Oh jealous Oh jealous Oh jealous Oh jealous Eh, kwambie tu ukweli ukiwa kitonga Kila mpita njia atakuja kugonja Najua uko DM kama wanakusonga Kwa gear za kubonga Na gear za kuomba Sukari yangu watu wanataka kuonja Biria chonga mzigo wako watasomba Na unga unga dotti fit na connect Ukiweka post napitia comment Sio free market hii kitu private Wasingi wasijiachie kama consent Wasema ndege wako ukiwa ndani Akiwa barabarani hujui anaruka na nani Sometimes mi nakuwa niko vitani Wongo zako viwanjani, na marafika company Na ukiendanga kwa fundi cherehani Vipimo mi jamani yaani yaani Staki kukuona Staki kukuona na mwingine Kuona na mwingine Staki kukuona Ukichekeshwa na mwingine Cheka na mwingine Staki kukuona Staki kukuona na mwingine Kuona na mwingine Staki kukuona Ukidensi na mwingine Densi na mwingine Oh jealous Oh jealous Oh jealous Oh jealous