So fresh is on the beat
Mimi si bwana yako, mi ni bwana sherehe
Mi ni bwana sherehe, eeeh
Mi ni bwana sherehe
Mimi si bwana yako, mi ni bwana sherehe
Mi ni bwana sherehe, eeh
Mi ni bwana sherehe
Tingika, tingika kama unaweza tingika
Vunjika, vunjika kama unaweza vunjika
Mwagika, mwagika kama unaweza mwagika
Tingika, tingika kama unaweza tingika
Vunjika, vunjika kama unaweza vunjika
Mwagika, mwagika kama unaweza mwagika
I like to drink and I like to party
Two nights sijaonana na blanketi
Na sasa ninaona sunset ya Monday
I thought you told me it's your birthday
Hatujuangi shida ya budget
Sidhani itakua private
I'm always feeling (nice), always feeling (nice)
I'm always feeling (nice)
Nikiwa sherehe, nikiwa sherehe
I'm always feeling (nice), always feeling (nice)
Always feeling (nice), nikiwa sherehe
Mimi si bwana yako, mi ni bwana sherehe
Mi ni bwana sherehe, eeh
Mi ni bwana sherehe
Mimi si bwana yako, mi ni bwana sherehe
Mi ni bwana sherehe, eeeh
Mi ni bwana sherehe
Tingika, tingika kama unaweza tingika
Vunjika, vunjika kama unaweza vunjika
Mwagika, mwagika kama unaweza mwagika
Tingika, tingika kama unaweza tingika
Vunjika, vunjika kama unaweza vunjika
Mwagika, mwagika kama unaweza mwagika
Niko na Tatyana, Rukiana, Kiana shape ya Rihanna
Tumejipata wote tukikatiana
Ooh, maisha ya kistaa
Maisha ya kistaarabu
Niliunderstand the assignment
Universal alignment
I'm always feeling (nice)
Niko kwa mawingu (nice), feeling so high (nice)
Nikiwa sherehe, I'm always feeling (nice)
Niko kwa mawingu (nice), feeling so high (nice)
Nikiwa sherehe
Mimi si bwana yako, mi ni bwana sherehe
Mi ni bwana sherehe, eeeh
Mi ni bwana sherehe
Mimi si bwana yako, mi ni bwana sherehe
Mi ni bwana sherehe, eeeh
Mi ni bwana sherehe
Tingika, tingika kama unaweza tingika
Vunjika, vunjika kama unaweza vunjika
Mwagika, mwagika kama unaweza mwagika
Tingika, tingika kama unaweza tingika
Vunjika, vunjika kama unaweza vunjika
Mwagika, mwagika kama unaweza mwagika
Поcмотреть все песни артиста