He Madem Acha tu Kweli akina dada wamenionyesha giza Ama nilikosea labda wanalipiza Woi woi woi woi no Story time, Ethan Muziki time Nikiwa rima nilipatana na msichana malaika Mrembo tukiwa pale umoja Tukitoka shule mikono pamoja My first crush we lost touch High school nikapelekwa ocha Lakini bado niliwachocha nikawachota Kuingia campo Nikasema nitasoma nitashindaga daro Asubuhi walevi kwenye mtaro Anasa na hizo pesa za karo Na bado nakimbizana na caro Silver tongue nilipatiwanga Lugha lazima angeitana Bingo nimeshapata mama Ako singo lakini condition Anataka attention anataka vacation Me niko na noti ya leo mbaka kesho Attention tena vacation Hawezi kuwa naughty bila compensation Kweli akina dada wamenionyesha giza Ama nilikosea labda wanalipiza Kweli akina dada wamenionyesha giza Ama nilikosea labda wanalipiza Akina dada Giza Nilikosea Nika tarmac tarmac after campo Tafuta job acha story za warembo Oh no it was never easy Hauwezi sample wote umalize I met so many ladies Tukakunywa pesa za deni Kama hausafishi nyumba Chunga usiite wageni Siku nyingi zikapita sana Kabla penzi ikabisha tena Huyo dem alinionyesha mambo Maisha hainanga praco Dem wako ni wako akiwa kwako Akitoka anakuzungushaga circle Sako kwa bako ako na mwenzako Wanacheza tapo Juu anataka attention anataka vacation Me niko na noti ya leo mbaka kesho Attention tena vacation Hawezi kuwa naughty bila compensation Kweli akina dada wamenionyesha giza Ama nilikosea labda wanalipiza Kweli akina dada wamenionyesha giza Ama nilikosea labda wanalipiza Akina dada Giza Nilikosea Labda wanalipiza Simu siku hizi ndio adui Chunga usichizi vitu hujui Ndio maana siku hizi mi sikagui Nilishafundishwa Utazungushwa sana Kweli akina dada wamenionyesha giza Ama nilikosea labda wanalipiza Kweli akina dada wamenionyesha giza Ama nilikosea labda wanalipiza Kweli akina dada wamenionyesha giza Ama nilikosea labda wanalipiza