Kuna maziwa Kuna maziwa Mwisho wa safari Mlango wangu uko wazi Sina siri zakuficha Nimegundua wasiwasi Ndio ya nisimamisha Kupepea, ninajisimamisha Kupepea, nitajirekebisha Kuna maziwa Kuna maziwa Mwisho wa safari Kuna maziwa Kuna maziwa Mwisho wa safari Kuna majambazi Wanajaribu kunitisha Wamekita kambi Wakichungulia kwa dirisha Ngojea, natafuta pesa niwahonge Pesa onge Ngojea, mlango wazi msigonge Kuna maziwa Kuna maziwa Mwisho wa safari Kuna maziwa Kuna maziwa Mwisho wa safari Kuna maziwa Kuna maziwa Mwisho wa safari Kuna maziwa Kuna maziwa Mwisho wa safari Safari, I'm still far away Still far away I'm still far away Safari, I'm still far away Still far away I'm still far Natarajia kuna maziwa Mwisho wa safari