Haujachoka kucomplain Unataka kila mtu ajue Kuzungumza hio ni kazi bure Mandazi basi enda ufure Nimechoka na caffeine Natafuta kitu stronger nichukue Hii nyumba imegeuka UFC Tunarusha vikombe kwa bidii (Naaaaa) Kuna siku tuko poa sana, hadi unatamani ndoa Na kuna saa utashangaa kama tutatoboa Nifundisheni karate Nifundisheni na Kung Fu Na munifunze kujitetea Ju anarushanga miguu Nifundisheni karate Nifundisheni na Kung Fu Na munifunze kujitetea Ju anarushanga mguu Kung Fu, Karate Kung Fu, Kung Fu Mami punguza drama Ama hii ni karma ya zile vitu mbaya mbaya nilifanya Kama ni hivyo basi sawa Mapenzi haina ladha Marafiki washasema lakini nikuache aje Malkia Mbona bado wanivutia? Kuna siku tuko poa sana, hadi unatamani ndoa Na kuna saa utashangaa kama tutatoboa Nifundisheni karate Nifundisheni na Kung Fu Na munifunze kujitetea Ju anarushanga mguu Nifundisheni karate Nifundisheni na Kung Fu Na munifunze kujitetea Ju anarushanga mguu Kung Fu, Karate Kung Fu, Kung Fu Kung Fu, Karate Kung Fu, Kung Fu Haina haja Kushinda tumejikaza Kama imeshindikana Tumefika njia panda Haina haja Kushinda tumejikaza Kama imeshindikana Tumefika njia panda Haina haja Kushinda tumejikaza Kama imeshindikana Tumefika njia panda No way No way no way no way I choose to no longer play the game See you only cause mi pain I never gain Liquid is solid today!