Kishore Kumar Hits

Ibraah - Maumivu şarkı sözleri

Sanatçı: Ibraah

albüm: The King Of New School

Mungu ndo aliumba mbalamwezi na jua
Na tena kwa majira tofauti kutustiri
Aaaah ona ye pekee ndo anayetambua
Yupi anasema ukweli na yupi msiri
Aaaah na asikwambie eti kwamba niko
Sawa usisikie uwe ndo pacha kwa mbali unanikwaza
Basi nihurumie marafiki wasifanye unichukie
Moyo kukataza kwa mbali nawe najikaza, siyawezi
Huwenda nasubiria ndoto ambayo haiwezi timia ila ni sawa,
Nitajua tu ni changamoto kweli umedhamiria mabaya
Mbona nilikupa moyo utunze we unaugawa,
Unachoniachia ni maumivu kwenye
Upendo wetu (unachonipa ya kwamba eeeh)
Umeniacha na nani? (sasa ni nani wa kunisitiri unafikiri)
Umeniacha na nani (nimekuwa dhaifu inauma na roho)
Umeniacha na nani (hata huruma hauna ah hauna aaah)
Umenicha na nani (nani ihi, ni nani umeniacha na yeye)
Sitaki kuwa kobe la mchana kipitacho mbele
Nikakobelea tu na hisia siwezi zidanganya,
Nimezama nishakuzoea boo
Mapigo ya moyo yatafeli kweli,
Isigeuke vita karaba na kirikuu, tuliahidi si tutapendana,
Tutasemaheana sa mbona unaniruka weee
Nawaza kwa mganga nikupige ndele,
Moyo unaniambia niache kiherehere, maana ni hasara hasara aaah
Na najipa imani we ndo wangu wa milele mi nimefall mjukuu wa Nyerere,
Kifuano utalala, utalala aaaah
Huwenda nasubiria ndoto ambayo haiwezi timia ila ni sawa,
Nitajua tu ni changamoto kweli umedhamiria mabaya
Mbona nilikupa moyo utunze we unaugawa,
Unachoniachia ni maumivu kwenye
Upendo wetu (unachonipa ya kwamba eeeh)
Umeniacha na nani? (sasa ni nani wa kunisitiri unafikiri)
Umeniacha na nani (nimekuwa dhaifu inauma na roho)
Umeniacha na nani (hata huruma hauna ah hauna aaah)
Umeniacha na nani (nani ihi, ni nani umeniacha na yeye
Mmmh aaah oyeyeye aaah, chinga ah,
Konde Music Worldwide, Aaah
Nawaza kwa mganga nikupige ndele,
Moyo unaniambia niache kiherehere, maana ni hasara hasara aaah
Na najipa imani we ndo wangu wa milele mi nimefall mjukuu wa Nyerere,
Kifuano utalala, utalala aaaah

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar