Kishore Kumar Hits

Arrow Bwoy - Uko Nami şarkı sözleri

Sanatçı: Arrow Bwoy

albüm: Focus


Najua uko nami,uko nami
Najua uko nami wakati wa tsunami
Najua uko nami,uko nami
Najua uko nami wakati wa tsunami
Kuna siku nakosea mmmmh
Lakini kwako narejea aaah
Na tuna andamwa na majukumu ghetto
Wengi wakisema tutatoka ghetto
Wengine wakisonga tuna baki ghetto
Baba aah eeeih
Nina Imani nita timiza ndoto
Nirudishe mkono nibariki ghetto
Iyeiyee nibariki ghetto
Oooh noo mmmmh
Niki ng'ang'ana na jua Kali
Wengi waliona mi sifai
Lakini Mungu wangu we haulali
Baba eeeh iii
Wewe ndio kusema na kutenda
Wewe ndio unabariki bariki tu
Wewe ndio una inua inua mmmh
Baba eeeh iii
Wewe ndio kusema na kutenda
We ndio unapeana peana mh
We ndio una bariki bariki tu

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar