Tamu, Tamu (Eyo Trone)
Tamu, Tamu (Ayo Lizer)
Sura tisi chocolate
Kidoti joketi katoto ni keki
Nitamwaga bajeti, nikape tiketi
Kunipeti peti
Eh ulivyojazia ukinisusia itanizidia eeh
Nang'ang'ania sitokuachia unanipatia eeh
Sambusa kachori, napenda macho yako gololi
Nisharuka nikajoli, tucheze kuchikuchi kwenye mapori
Sambusa kachori, napenda macho yako gololi
Nisharuka nikajoli, tucheze kuchikuchi kwenye mapori
Alamba (Tamu)
Ah alamba tena (Tamu)
Oh alamba (Tamu)
Ah alamba tena (Tamu)
Ah alamba (Tamu)
Ah alamba tena (Tamu)
Oh alamba (Tamu)
Ah alamba tena (Tamu)
Vanny Boy, no no no no no
Alamba ta, mutamu napenda ukitabasamu
Unavyonipa kwa mashamu mashamu
Hujaniita naka-mukamu
Nitachuchumia na kuning'inia
Nipekupania yooh
Nitakusugulia ka steel wire
Na masufuria yoh
Nikisimama we lala, tamu tamu
Nipe nguru sangara, tamu tamu
Ukikamata mnara, tamu tamu
Nitulize papara, tamu tamu
Sambusa kachori, tafuna tango ghetto si za mori
Nisharuka nikajoli, tucheze kuchikuchi kwenye mapori
Sambusa kachori, tafuna tango ghetto si za mori
Nisharuka nikajoli, tucheze kuchikuchi kwenye mapori
Alamba (Tamu)
Ah alamba tena (Tamu)
Oh alamba (Tamu)
Ah alamba tena (Tamu)
Ah alamba (Tamu)
Ah alamba tena (Tamu)
Oh alamba (Tamu)
Ah alamba tena (Tamu)
Nimeshakupa seat, ukae mwenyewe ujinafasi
Siwezi kukucheat, basi niamini ndo waasi
Mi ni mfungwa kwenye jela yako, nifungwe milele, milele
Kweli pombe ya mapenzi yako, niacheni nilewe, nilewe
Sambusa kachori, napenda macho yako gololi
Nisharuka nikajoli, tucheze kuchikuchi kwenye mapori
Sambusa kachori, napenda macho yako gololi
Nisharuka nikajoli, tucheze kuchikuchi kwenye mapori
Alamba (Tamu)
Ah alamba tena (Tamu)
Oh alamba (Tamu)
Ah alamba tena (Tamu)
Ah alamba (Tamu)
Ah alamba tena (Tamu)
Oh alamba (Tamu)
Ah alamba tena (Tamu)
Поcмотреть все песни артиста
Sanatçının diğer albümleri