Mama mwenye nyumba, mwenye nyumba Mama mwenye nyumba utaniua wee (Nazdaaa) Mi najiuliza maswali nihame niende mbali Kwa visa unavyo nifanyia mama (mama ehh) Mi namla humu dalali ndo kaniletea shali Mitego imenizidia jama (jamaa ee) Ahh ah, kiti kipo akai akifua, akipika anainama Mama kiboko (mama kobokoo eeeh) Jana kani letea chai leo kaleta ubwabwa na nyama Na kanga mokoo (na kanga moko eeh) Anavyo nipa vishawishi mwishowe nashindwa jizuia Yata nifika mazishi mumewe aki nifumania Kasema amfikishi mzee ana tumbo la beer Mama anataka mwichi yani kisu kikachane pazia Aaah, niue nisiue? (Uwa!) Apana mke wa mtu sumu, kuna jela na ghesti Nami nyumba ninamajukumu Niue nisiue? (Uwa!) Wasije kunivutia ndumbu, Wazee wavilainishi wakapita mombasa na Kisumu Mama mwenye nyumba, mwenye nyumba Mama mwenye nyumba utaniua wee Mama mwenye nyumba, mwenye nyumba Mama mwenye nyumba utaniua wee Nikimpa kodi anakataa anairudisha Bill ya maji, bill ya umeme anazirudisha Aah! Ah! Niki muamukia anakataa anajinunisha Kweli n'gombe azeeki maini, anajibaebisha Usiku nagonga milango anakuja tupu-tupu Ananizuga samaki chambo tucheki movie za lufufu Hajui nimetoka jando ananiforce mabusu Nisije nikampa tango nikaishia kisutu Nikileta vimada visa, majanga shetani kapandishwa Oh Mama! Mama! Mama! Mama! Yeah yeah (Mama aeh) Akaukagi kujipisha wivu ndo unamkasirisha Oh Mama! Mama! Mama! Mama! Yeeh yeah (Mama aeh) Aaah, niue nisiue? (Uwa!) Apana mke wa mtu sumu, kuna jela na ghesti Nami nyumba ninamajukumu Niue nisiue? (Uwa!) Wasije kunivutia ndumbu Wazee wavilainishi wakapita mombasa na Kisumu Mama mwenye nyumba, mwenye nyumba Mama mwenye nyumba utaniua wee Mama mwenye nyumba, mwenye nyumba Mama mwenye nyumba utaniua wee