Kishore Kumar Hits

Mac Voice - Only You şarkı sözleri

Sanatçı: Mac Voice

albüm: Only You


La-la li-la, li-la-ah
Mocco
Mbona mimi sijui, nina nini sijui?
Umenipa nini kidawa? Kila unachofanya ni sawa
Hakipandi chakula mda wa kula yani mpaka unilishe
Usiku usingizi sina mpaka ulale wewe (ah, ah)
Una uzuri wa sura na hiyo chura ufundi usizidishe
We ni size yangu kina twaendana wewe
You'll be there for me my baby
I'll be there for you my baby
Baby, wewe ni wangu
Ukicheka mashavu vishimo
Mtamu mpaka kisigino
We ndo mami love
Wendo mami love
Mapenzi hayana kipimo
Mi na wewe tu kucheat no
Nisha dondosha wino oh
Nisha dondosha wino oh, oh
Only you, only you, only you, only you, only you
Only you, only you, only you, only you, only you
Mungu anaumba
Mungu anachora
Mungu anayakata-kata maumbo
Mungu anafumba
Molah, Kaku jaza-jaza nyama lundo
Si ndoma si kokoto
Vimacho vyako changalawe
Mwili homa nahisi arosto
Tuanze kula ndo tunawe
My chioma, my tototo
Ukinmwagia sandakalawe
Sodoma nauona moto
Ukibiduka para nawe
Mwarubaini ni dawa ya tumbo
Usiichanganye na sukari (oh na sukari)
Nimebaini penzi ni fumbo
Si maandishi ya daftari
Ukicheka mashavu vishimo
Mtamu mpaka kisigino
We ndo mami love
We ndo mami love
Mapenzi hayana kipimo
Mi na wewe tu kucheat no
Nisha dondosha wino oh
Nisha dondosha wino
Only you (only you) only you (only you) only you (only you) only you
Only you, only you, only you, only you, only you

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar