(Ne-Next level music) Ooh, ooh (Wanaweweseka hao) (Wanaweweseka hao) Wenye wivu wasijinyonge, ila wapigwe shoti wafe King'asti wangu yuko hapa hapa, usinishike bega niache Nakupa yote mumunya, utamu wa pipi mate Baby kwa mapenzi huko chuo, hauko tena kindergarten Marashi ya Pemba, amechanganya na tanga huyu Mtoto kama Saida Karoli, anavyochambua karanga Na simwachi nampenda, ye pete mi chanda L-O-V-E (I love you), kama Kassim Mganga Pressure inapanda, pressure inashuka Wanaovimba watapasuka Niki-kupost namba Insta patachafuka Watatamani ku-hacki waje kufuta hao Lelele (Wanaweweseka hao) Wanakupa bundle, watuperuzi (Wanaweweseka hao) Mama nipe mambo, tuwaudhi (Wanaweweseka hao) Basi chekacheka ukidekadeka na mimi (Wanaweweseka hao) ♪ Ndege eh, tausi, maringo na tege eh Umbo kifusi, nyuma kishindo Nikubebe eh eh, na wenye chuki wakate shingo Sitaki rede eh, nina bunduki na weka lindo Udongo gani, unaokufinyanga mwali we'e? Mganga gani, al'opiga manyanga mwali we'e? Majungu simtaji (ayaya) Maneno sio radi (ayaya) Jasho linawatoka maji (Mmh, I love you daddy) Marashi ya Pemba, amechanganya na tanga huyu Mtoto kama Saida Karoli, anavyochambua karanga Na simuachi nampenda, ye pete mi chanda L-O-V-E (I love you), kama Kassim Mganga Pressure inapanda, pressure inashuka Wanaovimba watapasuka Niki-kuposti namba Insta patachafuka Watatamani ku-hacki waje kufuta hao Lelele (Wanaweweseka hao) Wanakupa bundle, watuperuzi (Wanaweweseka hao) Mama nipe mambo, tuwaudhi (Wanaweweseka hao) Basi chekacheka ukidekadeka na mimi (Wanaweweseka hao)