Forever, forever
Forever, forever
Forever, forever (MLAM on the beat)
Forever, forever (SoundBoy)
Nilianza kusikia sauti yako, kabla sijaona sura
Ikafanya nikageuka (ikafanya nikageuka)
Macho yangu yakakutana na yako, oh mashallah
Nikahisi malaika ameshuka
Maana rangi, macho, umbo lako
Likanivuta kwako, tuongee
Nikakuuliza jina lako, namba yako
Nd'o ulikuwa mwanzo wa mi' na wewe, uh baby
'Menifungulia dunia ya mapenzi
Nimesahau mateso
Nakufungulia dunia ya kukuenzi
We' ni wangu leo na kesho, eh-eh
Nakupenda, sikuachi
We' ni wangu, I promise
Nakutaka, kando yangu
Sikuachi, I promise
Mi' na wewe
Forever, forever, forever me and you
Me and you forever, baby
Forever, forever (milele), forever, mi' na we
Nitazikwa nawe
♪
Mtoto mbichi, teketeke aki' mama umelainika
Umeumbika, acha nikumwagie sifa
Waruke sarakasi na mateke, uzuri wako hawatofika (hawatofika)
Mama umejazisha, mikate yakumiminisha
Baby waonyeshe cheko (cheko)
Wape mideko (deko)
We' mzuri, filter na make-up waachie wao
Na unawapa mateso (teso)
Watajifunika leso
Waonyeshe kiburi wajue wewe ndio mama lao, aya-iya
'Menifungulia dunia ya mapenzi
Nimesahau mateso (mateso)
Nakufungulia dunia ya kukuenzi
We' ni wangu leo na kesho, eh-eh
Nakupenda, sikuachi
We' ni wangu, I promise
Nakutaka, kando yangu
Sikuachi, I promise
Mi' na wewe
Forever, forever, forever, me and you
Me and you forever, baby
Forever, forever (milele), forever, mi' na we
Nitazikwa nawe
(Kamix-Lizer)
Поcмотреть все песни артиста