Oooh oooh oooh yanauma eeh Mapenzi ka kitabu nafungua ukurasa Nasoma kichwa cha habari Hali mtima nyogo mapenzi si shwari Nilitegemea nitazima upepo, nikamwona bahari Aliniumiza kwa upinde wa usaliti Hali si shwari Yaani ye bahari mie nanga Nimetia nanga kumbe si shwari Walahi dunia simama nishuke Maumivu ya mapenzi mi yamenishinda Oooh oooh ooh, danadana Semeni ni nini, danadana Ni nyekundu naona kijani, danadana Nimlaumu nani? Mapenzi yamenipeleka sana, danadana Kama teta danadana Yamenibeba na kunitupa, danadana Aaah moyo wangu una nini? Yaani ndo umeamua kunichinjia baharini Hunitaki tena Au ndo utamu wa mua ukishaisha kinywani Maganda hutemwa Au ulichokaa spinachi ndo maana Hukujali yaani Wezangu walikuja kwa kreti kwa nyama Na biriani aah (Oooooh... ooooh...) Moyo umeukondesha umenipa jeraha Nafsi inasononeka, usiku kucha balaa mmmh Masikini roho yangu dekio Penzi langu pambio Hakuna malovidavi maumivu tupu Najuta kupenda Sagana rhumba na njia oooh Moyo wangu mie Oooh oooh ooh, danadana Moyo danadana, danadana Nashindwa hata kulala, danadana Chakula mwenzako sili Moyo wangu ni danadana Yamenipeleka sana hey, danadana Danadana, moyo wangu ni Danadana ah, danadana ah Danadana ah, moyo wangu ni Danadana ah, danadana ah Danadana ah, moyo wangu ni