Moyo pupa sijui kwanini undadunda Sana Oooh aibu macho yako ukinitazama Mtamu kama chips yai,asubuhi Vitafunwa chai I feel you mbaya,Ooh eti mbaya Kama malaika ulivyoumbika Mithili ya kinanda au gitaa Nikupige mbaya,Ooh eti mbaya Mhhh" siutani siutani mamaa Kwenye hilo tope mi nishazama (nishazama mazima) So usije kunichanganya,ntalia machozi Ntakusemea kwa mamaa Kwangu ni wewe tu Only you,Only you (ni wewe tu) Only you,Only you (mhh kwangu ni wewe tu) Only you,Only you Only you only you Ehh ahh mtoto idara zote yuko fine fine Umbo na sura she looks fine fine Ananimudu kidume niko fine fine Kwenye baridi we joto njoo nkupe peremende au jojo Na kidume nishajaza ndoo njoo tupunguze hata kikopo Kukwacha siwezi we nazi mi mkwezi Nimelewa mapenzi umenioverdose (umenioverdose) Mgonjwa nimepata kwinini Madakitari wa nini Ananitibu homa ya ini,ameniwini nimemuwini Siutani siutani mamaa Kwenye hilo tope mi nimeshazama (nimeshazama mazima) So usije kunichanganya mpenzi Ntalia machozii ntakusemea Kwa mama,maana ni wewe tu Only you (forever you being all mine) Only you (nikikosea usimind) Only you, Only you, only you (Forever you be ma mine) Only you (nikikosea usimind) only you (Only you) only you Ahhh" I just wanna stay with you (Only you) We npepee dawa,usininyime Mimi dawa forever be mine (dawa) Usininyime mimi (dawa) we kwangu dawaa,usininyime mimi dawa,Naaah Forever you be mine (dawa) Usininyime mimi dawa,Naaah