Kuna muda nakupata kwa wakati Kuna muda nakupata kwa manati Nikikupata bahati Hautoshi wakati Kuna muda najiuliza tuko wangap Maana unatupanga kama mishikaki Uwenda sina bahati Unatupindua kama chapati Labda hhali angu duni Ndio maana unanifanyia ushenzi Siumudu kucha simu to saloon ndio maana Hiv tupo in love au tunatanina hata sielewi Sielewi sielewi sielewi Baby hivi tupo in love ama tunazinguana Hata sielewi sielewi sikuelewi baby Mmmh Eeehhh Mmmmmh Iiiiiiyaaaaaa Ooooh mmmh Kuna muda tukipanga tuwe wote wewe unavunja miadii (Naaaaaah) Una kimada pemben ndio maaana unakosa wakati (Nooooo) Mara uko bize utanicheki baadae (mmmmh) Na hiyo baadae upitilize upatikani baby Wew unachukulia easily Mm si ndio kauka nikuvae Haja zako nitimize unapi nihitaji babaee (aaah) Na kuna muda najiona kama kipozeo tu Ukiwa nami unanipa magwanda Ukiwa haupo sina cheo duuuh Duuuh nami kuna muda najiona kama kipozeo tu Upokeagi simu ukiwa umejaa unapokea ukiwa na shida tu Baby tupo in love ama tunataniana Hata sielewi sielewi sielewi Baby tupo in love ama tunazinguana Hata sielewi sielewi sikuelewi Ooooh baby I swear to God i listen to your love i never break your heart I swear to God I listened to your love i never break your heart Umeniweka kwenye timing timing Ili nipoteze timing Usiniweke kwenye timing timing tukapoteza timing Mapigo ya moyo yatakua jujujuu Pressure nayo itakua jujujuu Tunafunga kesi wangu bububuu Maisha bila weww ni pesa bila kibubu Baby tupo in love ama tunataniana hata sielewi sielewi sielewi sielewi Baby tupo in love ama tunazinguana hata sielewi sielewi sikuelewi Sielewi sielewi Prince wa kigoma