Come back to me Yaaaga Nakutumia message, hujibu fine fine fine Ukiniona hunisalimii fine fine Ukiniona unabadili njia pia fine fine Hata message zangu haujibu basi fine fine Naisi kufa kufa Penzi bila yeye nyumba bila ukuta yeah yeah Naenzi lina nyufa basi fine fine Pumzi yangu oxygen ndo yeye Au amenitelekezaga mwenyewe Na me siwezi hema bila yeye Basi fine fine Me jongoo miguu mingi Sioni sina machoo Nilionga roho na shilingi kurudisha uepo wako Bado (bado bado nakukumba bado) Kichwa unnipasua (bado bado nakukumba bado) Nashindwa kulala (bado bado nakukumba bado) Me nakuotaota tu (bado bado nakukumba bado) Ah! Mchwa wameushambulia mgomba Walianza kula mizizi Wamemaliza mkonga Musa alinisimulia mjomba Penzi ni sukari ya ndizi ila nikama embe uvyonda Ushuuda wa mapenzi kijumbe ngoswe Hii vita siwezi sina dhana yoyote Nilijitaidi sana vitunguu kupatikana Nikakopa kopa vinyanya, aaaah, aaah Yapo yaliowezekana Na machache kushindikana Wapi tulishindwana, aaah Me jongoo miguu mingi Ila sioni sina machoo Nilionga roho na shilingi kurudisha uepo wako Me bado (bado bado nakukumba bado) Mwenzako bado (bado bado nakukumba bado) Nachanganyikiwa mimi (bado bado nakukumba bado) Nimezidiwaaa nimezidiwa (bado bado nakukumba bado) Iiiiih! Chidy chidycare