Kishore Kumar Hits

Barnaba - Tamu (feat. Nandy) şarkı sözleri

Sanatçı: Barnaba

albüm: Love Sounds Different


This is Barnaba Boy Classic
Africa princess (aaaanhh)
Mopao
You and me for real (eeehhh)
Samuel Mou
Eeeeeh
Woo nah nah nah (oh na na na na)
London
Penzi langu alirudi, alirudi lanukia kumpenda sina budi
Nitaganze adharani ikibidi, tufanye makusudi
Hatuongopi tantarira zao
Maneno mchajao, wanafanya maneno baby sie tufanye matendo
Imani nilonayo ilitengenezwa na wewe
Ukonyuma nilianguka, ukaniokota, ukanipanguza
Upendo tulonao umentengenezwa namimi na wewe
Hapo nyuma watuangusha tukanyanyuka!
Penzi tamu
Neno penzi kwangu tamu
Neno penzi kwangu tamu
Jama, mapenzi matamu
Penzi tamu
Neno penzi kwangu tamu
Neno penzi kwangu tamu
Jama, mapenzi matamu
Naaah!!
Aiyaaah hhaaa aah!
Uuoooh Uuuoh Uuooh (princess malkia wangu ebu nisamee)
Hoo papa kwenye moyo wangu ushaweka alama na chata
Kukupenda wewe sina shaka mhh
Kwenye akili yangu ni wewe pekeako umenikaa
Kwengine roho inakataa Oh!
Moyo umekuami mana huniishi akilini
Sijui umenipa nini mmhh
Au umentupia kajini ndo mana umeni-win!
Mana hunishi akiliniii (Aah tell them my love)
Imani nilonayo ilitengenezwa na wewe
Ukonyuma nilianguka, ukaniokota, ukanipanguza
Upendo tulonao umentengenezwa namimi na wewe
Hapo nyuma watuangusha tukanyanyuka!
Penzi tamu (Aaaahh)
Neno penzi kwangu tamu (babe)
Neno penzi kwangu tamu
Jama, mapenzi matamu (jama mapenzi matamu!!)
Penzi tamu
Neno penzi kwangu tamu
Neno penzi kwangu tamu
Jama, mapenzi matamu (jama mapenzi matamu!!)
Penzi tamu
Neno penzi kwangu tamu (neno penzi kwangu tamu)
Neno penzi kwangu tamu
Jama, mapenzi matamu (babe)
Penzi tamu
Neno penzi kwangu tamu
Neno penzi kwangu tamu
Jama, mapenzi matamu
This is Barnaba Boy Classic
Kamix Lizer
You and Me for real

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar