Ayayaya Nadia (Alexis on the beat) Kamoyo kangu kachoyo, ila kwako nimetulia Nairobi mpaka bagamoyo, anataka kunichumbia Sasa nalishwa, navishwa, naogeshwaaa aaah Tena nalindwa napendwa yule si wa kufichaaa aah Picha kule Kule, watapata taabu saaana Macho mbele mbele, ananipenda saaana aah Hakuna pingamizi kwetu Hakuna madrama huku kwetu Hatuna maneno huku kwetu Tunapendana kikwetu Aka kamoyo kangu nijipe Nijipe Ukinipenda sana nijipe Nijipe Aka kamoyo kangu nijipe Nijipe Ukinipenda sana nijipe...(oh na na na) Nijipe Mmmh Mi mwenzako nawezaga kupenda sikatai Kweli Uh.ndo nishazama usinipige kipapai honey Mi apo kwako nishabwaga moyo usiulaghai kweli Uh.ndo ushakwama unachotaka sikatai honey Najua bado huamini haya yamekua(yamekua ehh) Acha siamini Si hakuna pingamizi kwetu Hakuna madrama huku kwetu Hatuna maneno huku kwetu Tunapendana kivyeeetuu Aka kamoyo kangu nijipe...(oh na na na) Nijipe...(.mmmh) Ukinipenda sana nijipe...(nijipe eh) Nijipe Aka kamoyo kangu nijipe...(aka kamayo kangu nijipe) Nijipe Ukinipenda sana nijipe...(Ukinipenda Sana) Nijipe Mapenzi malove nawe Iwe shida au raha nitaponda nawe Nataka kapicha nawe Kumbusho pale tumetoka nawee Siamini leo ni mimi nawe(uuuh mama) ni mimi na wewe Hizi pesa nitafute nawe(uuuh mama) nitafute na wewe Lemme call you my dear This love is real not bandia If I love you hutakimbia Coz my love is real not bandia Hakuna pingamizi kwetu Hakuna madrama huku kwetu Hatuna maneno huku kwetu Tunapendana kikwetu Aka kamoyo kangu nijipe...(aka kamoyo kangu mie) Nijipe...(nijipe nijipe) Ukinipenda sana nijipe...(aah nijipatie basi) Nijipe Aka kamoyo kangu nijipe...(aka kamayo kangu mie) Nijipe...(uh na na na) Ukinipenda sana nijipe...(oh na na na) Nijipe...(mmmh) Nijipe... Nijipe Nijipe... Nijipe Nijipe... Nijipe Ukinipenda sana nijipe Nijipe Kanadia katamu