Kishore Kumar Hits

Billnass - Sina Jambo şarkı sözleri

Sanatçı: Billnass

albüm: Sina Jambo


Nenga Nenga!
Sina jambo
Sina jambo
Sina jambo
Bill Nass Bill Nass! MJ Records Dax wa Chali!
Sina jambo
Sina jambo
Sina jambo
Sina jambo
Sina jambo
Sina jambo
Ona wauni toka
Sina jambo (ah)
Sina jambo (ah)
Sina jambo (ah)
Ona wanangu toka
Sina jambo (ah)
Sina jambo (ah)
Sina jambo (ah)
Mentally nimekuwa mtaa sio geti kali
Bob marley enzi waya mkali nimechoka arifu
Tupia juu ya dari zile moka arifu
Isingekuwa ndoto bila kushare
Nadeal na wanangu wote wanaocare
Taichi na ngumi mtu tatu kapuni
Tag ubavuni cheza rafu kama ukuni
Sis kwa sisi ndo captain kwa watoto wa fisi
Toka sina vyangu na wanangu sisi tuko peace
Siwezi nikaacha wenzangu kwa kuhofia police
Me, I murder them silent mana maana tupo beach
Wanangu si ma dangwe watu wa back days
Deals za mazabe tukakabe
Kwanini nisirap tupate shangwe
Nikipate money tukamange
Sina jambo (ah)
Sina jambo (ah)
Sina jambo (ah)
Sina jambo (ah)
Sina jambo (ah)
Sina jambo (ah)
Ona wauni toka
Sina jambo (ah)
Sina jambo (ah)
Sina jambo (ah)
Ona wanangu toka
Sina jambo (ah)
Sina jambo (ah)
Sina jambo (ah)
Natoka uswazi natoka chimbo haswa
Mtoto wenyewe wa Tax kwanini tufuge paka
Watu wabaya halaf waduge hiyop kapuf ona
Ukiona mchizi sio kichaa ujue kashapona (ona)
Wanangu wapokona
Hawali sembe wala dona
Vitu flani wanachoma
Ati si hatunaga wengwe
Flag lakiswazi labda ulete zengwe
Kwani si hatunaga wenge
Shika hela nyingi ndo tuone no tuone changes
Me nadeal nawanangu eeh
Nakesha na wanangu eh
Hatakama sina vyangu siwezi leta za kipambe
Wanangu si dangwe watu wababe
Deals za mazabe tukakabe
Kwanini nisirup eh tupate shangwe
Nikipata money tukamande
Sina jambo (ah)
Sina jambo (ah)
Sina jambo (ah)
Sina jambo (ah)
Sina jambo (ah)
Sina jambo (ah)
Ona wauni toka
Sina jambo (ah)
Sina jambo (ah)
Sina jambo (ah)
Ona wanangu toka
Sina jambo (ah)
Sina jambo (ah)
Sina jambo (ah)
Me nadeal nawanangu eeh
Nakesha na wanangu eh
Hatakama sina vyangu siwezi leta za kipambe
Wanangu eeh
Wanangu eeh
Me nadeal nawanangu eeh
Nakesha na wanangu eh
Hatakama sina vyangu siwezi leta za kipambe
Wanangu eeh
This is life pure mwanangu
Sina jambo (ah)
Sina jambo (ah)
Sina jambo (ah)
Sina jambo (ah)
Sina jambo (ah)
Sina jambo (ah)
Sina jambo (ah)
Sina jambo (ah)
Sina jambo (ah)
Sina jambo (ah)
Sina jambo (ah)
Sina jambo (ah)

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar