Odi Love, odi love Njoo nikupe odi love, odi love Aaah Pozee, Klons leo uuh uh (Teddy B) Aah aah... leo uuh uh Hii mapenzi ni tamu mama Unanipendaje? (Aje) Huwezi hata kata tamaa Hata nikosee aje (Aje) Oh yeah! Si baby umeshinda wote Hutaniwacha hata nisote (Sote) Sitakulinganisha na yeyote Ah yote Oh baby you're beautiful, one in a million Wonderful, you tough like a lion Nasema I can't do without you (You you you) Ni kama umenipa majuju Twende home nikutekenye, sio tu pekejeng Na maadui wakule mateke Twende home nikutekenye, sio tu pekejeng Na maadui wakule mateke Sasa njoo nikupe odi love Odi love, odi love Mapenzi yetu tu hii ndio Odi love, odi love, odi love Njoo nikupe odi love Odi love, odi love Njoo nikupe kupe odi love Odi love, odi love Njoo nikupe love ya ki ghetto youth njoo Tutembee hata Saldido tule matumbo Nitaishi nawe niwe grandfather Niishi nawe niwe bigboy Unavyosongesha girl unanimada Niruhusu to your kingdom My love, si mi niko na tattoo Kwa mwili wangu umeandika "Baby I love you" Ka love kameshika bila voodoo Basi njoo nikumbate nipige busu Msupuu unanichanganyisha roho Na ninapokubusu unanichangamsha moyo Twende home nikutekenye, sio tu pekejeng Na maadui wakule mateke Twende home nikutekenye, sio tu pekejeng Na maadui wakule mateke Sasa njoo nikupe odi love Odi love, odi love Mapenzi yetu tu hii ndio Odi love, odi love, odi love Njoo nikupe odi love Odi love, odi love Njoo nikupe kupe odi love Odi love, odi love Oya mama unanituliza Nikianguka unaniokota Na tena mama unanikumbusha Hata iwe nini utanipendaga I am nothing without you baby And I can't do anything good Without you baby Twende home nikutekenye, sio tu pekejeng Na maadui wakule mateke Twende home nikutekenye, sio tu pekejeng Na maadui wakule mateke Sasa njoo nikupe odi love Odi love, odi love Mapenzi ya toto hii ndio Odi love, odi love, odi love Njoo nikupe odi love Odi love, odi love Njoo nikupe kupe odi love Odi love, odi love Aah aah, aah aah...