Bebi wamesanya ngoma yangu pozze aah Naskia uduuuu Si bebi wamesanya vitu zangu mmmh Naskia uduuuuBebi katika washa ngaaa Kumbe wakenya ni mabazuu Mabazu ngaaa Ngaa kamata pepeta Katoto kazuri Basi bembeleza aah Kamatako hii Kamata, kamata Kamata kwa chini Basi kamata kamata Kamatako hii Niite simba Mi ndio king kwenye game Hawana keshima hatuwezi Kuwa same Kamata alafu endesha kama baisikeli Kamata salaam aleikum Usimess na mkenya ni mtu mbaya Ata ku ni mtu mbaya Mi nitatetea sauti ya wanyonge Si mi ni pozze eeeh Kamata pepeta Katoto kazuri basi bembeleza Ngaa, Kamatako hii Kamata, kamata Kamata kwa chini Basi kamata kamata Ngaa Kamatako hii Kamata, kamata Kamata kwa chini Basi kamata kamata Ngaa Kamatako hii Bebi inama achana copycat Wale wanigwaya coz mi ni nomaree eeh Bebi inama alafu katika Washamba wamegwaya coz nitawandika aah Mbona mwanikera ra ra ra Kenyan boy ii Mbona mwanisanya nya nya nya Kenyan boy ii Madem wetu ni wetu Kaeni na wenu Ngaa, Ngoma zetu no zetu Toeni na Zenu Ngaa, Kamata pepeta Katoto kazuri basi bembeleza Ngaa, Kamatako hii Kamata, kamata Kamata kwa chini Basi kamata kamata Ngaa, Kamatako hii Kamata, kamata Kamata kwa chini Basi kamata kamata Ngaa, Kamatako hii Kamatako hii Kamatako hii Kamatako hii