Nakumbuka nikikuita unasonya wanipandisha wanishusha Nilikuwa sina dooh mtaani nala dodo Nilikuwa sina jambo iweje leo nina jambo Mwanakulifind mwanakuliget Oooh ndio waniita mpenzi Mwanakulifind mwanakuligeti Ooh leo waniita your baby I'm sorry nilipotaka uwe mke ulisema sina dooh So so sorry hata kaibaskeli kangu ulisema nisake dooh Do you know? Ni kidonda aina gani uloniweka moyoni Upendo unadhaminiwa pale ukiwa nazo, Upendo unadhaminiwa pale ukiwa nazo Nilikuomba usubiri hata kesho, Nilikuomba usubiri hata kesho (huenda kesho sawa) Nilikuomba usubiri hata kesho (huenda kesho sawa) Nilikuomba usubiri hata kesho (huenda kesho sawa) Ulichoka na maisha ya tomato, tomato, tomato, tomato chumvi ugali Ulitaka maisha Dubai nami sikatai bora ungenisubiri Baby ona leo ninamiliki manyumba pale Lavii Its so sad siwezi share na niliyempenda kwa moyo wa dhati My Valentino ungenitunzia moyo wako kuliko kunivunja moyo ulivyonivunja mama Hata kosa ilipotokea nimeshindwa kukasirika hata moyo uliponivunja nilishindwa kukasirika Nilikuomba usubiri hata kesho, Nilikuomba usubiri hata kesho (huenda kesho sawa) Nilikuomba usubiri hata kesho (huenda kesho sawa) Nilikuomba usubiri hata kesho (huenda kesho sawa) Ulitoroka sababu sikuwa na lolote kwa magoti niliomba usiniache my lover kesho yetu itakuwa sawa Ulipigiwa simu nilipogonjeka karibu nife mama ukasema hunijui mi na we tulikuwa mistake Baby don't blame me, Don't blame me nimepata mwingine Baby don't blame me, Don't blame me nimepata mwingine Nilikuomba usubiri hata kesho, Nilikuomba usubiri hata kesho (huenda kesho sawa) Nilikuomba usubiri hata kesho (huenda kesho sawa) Nilikuomba usubiri hata kesho (huenda kesho sawa)