Ananipenda nikinuna nuna ananibembeleza Ananipenda moyo ushazama kwake eti ameniweza Wengi wanasema ni ushamba kupenda ama kupendwa Ila leo nataka niwaambie Wala sioni kama ni ushamba Kupenda usipopendwa Ila aaah acheni niwaambie Akinuna siwezi kulala moy unaniuma Nakosa raha namuwaza yeye Nikinuna hawezi kulala moyo unamuuma Anakosa raha ananiwaza Ameitawala akili Namdhibiti anidhibiti Eeeh Alipo nipo nami nilipo yupo Ananipenda nikinuna nuna ananibembeleza Ananipenda moyo ushazama kwake eti ameniweza Ameniwezaaa Oooh no Oooh nooo Eeeh Eti anasema akinywa maji Ananiona kwenye glasi Nami samaki ye ndo maji Nampatia nampatia Mi mwenyewe siwezi kula Yani chakula hakipiti Hata nikikunywa maji Ananipatia ananipatia Aaah kama sio mimi Ni wapi angepata faraja anajiuliza Aaah Eeeh kama sio yeye ni wapi Ningepata faraja mi najiuliza aaaah eeeh Anapendaga Aaah kila mara anione eeeh Alipo nipo nami nilipo yupo Anasema Ananipenda nikinuna nuna ananibembeleza Ananipenda moyo ushazama kwake eti ameniweza Ananipenda nikinuna nuna ananibembeleza Ananipenda moyo ushazama kwake eti ameniweza