Kishore Kumar Hits

Kusah - Huba şarkı sözleri

Sanatçı: Kusah

albüm: Huba

Jamani Huba limekolea moto lanichoma vibaya
Nataka muda niliwazue vyema nisifike pabaya
Naganda ruba kanikwatua moyo kanishika pabaya
Na Nina muda sijawahi ona penzi kama lake
Ananifanya kama mtoto yani binua binua mpaka kwenye ndoto
Anang'ataga na mito wallah Mimi wake sinyorito
Uuuh yeeeh aaaah aaah
Limekolea moto
Limekolea moto
Limekolea moto
Mapenzi si kitoto
Mapenzi si kitoto
Mapenzi si kitoto
Usije basi ukaniacha solo mapenzi nayajua
Mwenzio mimi wataniona kolo Watanisema nitaumia
Usije basi ukaniacha solo presha itasumbua mamaa(uyeeeh aah)
Mwenzio mimi wataniona kolo(iyeee iyeee)
Labda kuna ndumba aah sio bure au unanikoroga
Moyo unanidunda dunda aah sio bure au unanikoroga
Nawaza labda sijiwezi (labda)
Au labda ni mapenzi (labda)
Nawaza labda ni kizizi (labda)
Au labda umeniganda (labda)
Ananifanya kama mtoto yani binua binua mpaka kwenye ndoto
Anang'ataga na mito wallah Mimi wake sinyorito
Uuuh yeeeh aaaah aaah
Limekolea moto
Limekolea moto
Limekolea moto
Mapenzi si kitoto
Mapenzi si kitoto
Mapenzi si kitoto
Usije basi ukaniacha solo mapenzi nayajua
Mwenzio mimi wataniona kolo Watanisema nitaumia
Usije basi ukaniacha solo presha itasumbua mamaa(uyeeeh aah)
Mwenzio mimi wataniona kolo(iyeee iyeee)
Siri ya penzi ni kushikana
Mimi na wewe baby kupendana
Tukikosea kusameheana
Kwenye makosa kuambilizana baby (iyeee)
Tusilivunje penzi upepo ukazoa likaenda na tsunami
(Iyeeee iyeeee iyeeee iyeee)
Usije basi ukaniacha solo
Mwenzio mimi wataniona kolo
Usije basi ukaniacha solo
Mwenzio mimi wataniona kolo

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar