Kana vichuchu na kashepu kakuchora Nyuma mzigo kamefungasha dondora Kana mapigo rita ola Cinderela Katanifanya nitazimwaga na heela Katanifanya nitakua zuzu zu Hata sijui nimepigwa juju ju Yani kabisa kanifanya bubu Na ujanja wangu kwake nimetubu Body lako amazing brown skin colour Watu unafanya unafanya unakera Uvae jeans,uvae skiny au uvae dera Watu unafanya unafanya unakera Uzunguke waninyonga katazo, Ushuke mpaka chini baby go down low, Tuvunje kitanda tuchane mito .aaaaaah Jimwaaa jimwage Jimwaaa jimwage Jimwaaa jimwage Aya fanya kama unaifata fata jimwage Jimwaaa jimwage Jimwaaa jimwage Jimwaaa jimwage Aya fanya kama unaifata fata jimwage Ayaiyai papii Mtoto wa watu ananikunywa bila chesa Kana kata sinaki kipi vile kameweza Look Safi safi hensam namabizi na mapesa Mmmh gentleman pekee ndio mi nadai Kama ni bad boy mshow yes you're my type We ni show vile unafeel sipendi mahipe Pusha lugha siunajua already I like your vibe And i like your style napenda hiyo cologne Niko na space ya mtu mmoja ingia kwa roho Shika denje weka number kwenye phone Leta tukutane twende choo me and you alone Tusakate.nikupakate Nikupe macho halafu unipe mate Na vinote na vile uko thirsty Leo niko na wangu so kila mtu na Wakeee Uzunguke waninyonga katazo Ushuke mpaka chini, baby go down low Tuvunje kitanda tuchane mito aaaaaaah Jimwaaa jimwage Jimwaaa jimwage Jimwaaa jimwage Aya fanya kama unaifata fata jimwage Jimwaaa jimwage Jimwaaa jimwage Jimwaaa jimwage Aya fanya kama unaifata fata jimwage