Kishore Kumar Hits

Kusah - Wasiwasi şarkı sözleri

Sanatçı: Kusah

albüm: Wasiwasi


It's Cukie Dady
Baby
Tori samwela
Oh, baby!
Penzi kombolela
Baby
Tusije kumbwela
Oh, baby!
Wakabutua bila
Honey, sisi binadamu hatuja kamilika
Ukinicheat mara moja
Sawa, ila fichaa
Yani dunia inamengi
Usijelewa sifa
Ukikosea mara moja tafadhali shuka
Hayakuliza ka'inauma!
Na ukiwashwa nakukuna
Nna moyo wanyama sina chuma
Ukikosea itaniuma
Hayakuliza ka'inauma!
Na ukiwashwa nakukuna
Nna moyo wanyama sina chuma
Ukikosea itaniuma Heeeya, waooh, hawa
(N'na wasi wasi) mnh!
(Ni wasi wasi na wewe) aheee!!
(Mpenzi wasi wasi) ndo huo tu unanitesa!
(Nina wasi wasi) mnhh eh!
(Ni wasi wasi, penzi wasi wasi) ndo akili iyoo
(Ni wasa wasi ni wasi wasi)
(Mpenzi wasi wasi) ndo huo tu unanitesa!
(Nina wasi wasi ni wasi wasi)
(Penzi wasi wasi)

Eeti, siuna nipenda wee?
Ulisema; "hata nyumba si'utajenga" we!
Eeti, siuko kando wee
Ulisema; "n'kiwa sina ntabaki na wewe"
Ningeweza kujigawa
Wangejichana, wangejigwa
Kupata kipande
N'kiwa mbali baki dawa
Honey, sis binadamu hatuja kamilika
Ukinicheat mara moja
Sawa, ila fichaa
Yani dunia inamengi
Usijelewa sifa
Ukikosea mara moja tafadhali shuka
Hayakuliza ka'inauma!
Na ukiwashwa nakukuna
Nna moyo wanyama sina chuma
Ukikosea itaniuma
Hayakuliza ka'inauma!
Na ukiwashwa nakukuna
Nna moyo wanyama sina chuma
Ukikosea itaniuma Heeeya, waooh, hawa
(N'na wasi wasi) mnh!
(Ni wasi wasi na wewe) aheee!!
(Mpenzi wasi wasi) ndo huo tu unanitesa!
(Nina wasi wasi) mnhh eh!
(Ni wasi wasi, penzi wasi wasi) ndo akili iyoo
(Nina wasi wasi ni wasi wasi)
(Mpenzi wasi wasi) ndo huo tu unanitesa!
(Nina wasi wasi ni wasi wasi)
(Penzi wasi wasi)

It's Cukie Dady!!

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar