Kama ni gari umeliwasha limewaka Na niko shwari iih ukwia kando sina mashaka Vile vituto vya chumbani vi udi na ubani Vagi la sunami hadi nasema kunani Iwe baridi kali ama joto Yani kwenye raha na msoto Nitabaki me na wewe nitabaki we na wewe Iwe kwenye gari ama kwa ngoko Yani we kulia me kushoto Nitabaki me na wewe nitabaki we na wewe Haya mapenzi, yana wenyewe Na wenyewe ndo sisi, ndo sisi Jama mapenzi, yana wenyewe Na wenyewe ndo sisi, ndo sisi Instrumental... Hallo Tuhame huku kwenye bangaloo Twende masaki tuwarushe roho Mapenzi yetu yawakabe koo Halloo Mwendo wa kupima Uzuri flani rangi ya madina Nikutoe dinner Wavimbe macho kama wachina oh oh oh Iwe baridi kali ama joto Yani kwenye raha na msoto Nitabaki me na wewe nitabaki we na wewe Iwe kwenye gari ama kwa ngoko Yani we kulia me kushoto Nitabaki me na wewe nitabaki we na wewe Haya mapenzi, yana wenyewe Na wenyewe ndo sisi, ndo sisi Jama mapenzi, yana wenyewe Na wenyewe ndo sisi, ndo sisi