Napona napona Napona, Oxlade Napona napona (Kimamba) Napona (on the beats) Yana nitoka macho, nikikuona kwa mbali Nakosa usingizi, usipokuwepo silali Nafuata ulichonacho, sijafuata salary Utanifanya chizie kama utakwenda mbali It's you that I have in my heart, I don't look for passenger Only you I need you right now Nibebe kwenye tenga (Ooh) Mana mapenzi yako yana (iyee) nielemea (iyee) Ulipush ya jana laendelea Penzi limesimama we kidedea, mpaka raha unavyo nipea Maana napokuona weee (napona napona napona) Nikipata penzi lako wewe (napona napona ooh napona) Maana napokuona weee (napona napona napona) Nikipata penzi lako wewe (napona napona ooh napona)