Hahaha Jeshi Konde Boy (Kimambo on the beat) Kipele kimegeuka kindonda Ndonda ndonda eeh Usichanganye na mdele mwenzako nitakonda eeh Konda konda eeh Ninakonda mara sisi sisimka Nikipitisha ulimi kwenye ziwa (nyasa) Bi-bi binuka Miguu kichwa chini nachanganyikiwa Tena usiku si hatulali Nampa mambo adim adim dim Sio kimoko chali Mikono ipo kwa sim sim sim Ongeza feni mama nasweti eeh (niteke) Tuchuane kama kareti (niteke teke) Ngololo malewa shakushaku Sikurekodi mi ni jeshi si mwijaku Zilisha mnyama Mwaga mwaga ma Zilisha mnyama Mwaga mwaga ma Uma fiti, nidhibiti Ukimumunya pipi Utamu wa kisiginoni Nichikiche nichikichi Na shovu nnje ya kiti Leo nakesha kilindoni Nitwange nipepete Nisage nichekeche Nikande niumbuke Kilima nipandishe Kibinda nkoi nkoi (aaee eeh) Kiwinda pori pori (aaee) Naringa doli doli (aaee eeh) Mawinga chori chori Niteke (mateka niteke) Niteke (niteke teke niteke) Niteke teke (mateka niteke) Niteke! ooooh Zilisha mnyama Mwaga mwaga ma Zilisha mnyama Mwaga mwaga ma Mateka niteke Niteke teke niteke Mateka niteke Ooooh Kimambo, they call me Jeshi(Bunge) Leo mjukuu kala majuto Siku zote sindano inakaaga mbali na puto