Hey heeeey oh yeah(Habaa) Ahh basi usikunje goti wala kuchechemea Pandisha mashetani mi ndio bingwa wa kukemea Usiombe nikila nyagi halafu nikavuta na mmea Utaniita Mr Miagi kila style unapopea Mi nipe sarakasi za kichina iokote nidate hadi niimbe mama Amina Izime switchi iokote ni kwichi kwichi Ipime izame ndichi nyoki ni mbichi mbichi Iokote! Tatizo mama ni nini? Sinywagi mchuzi wa pweza ila pweza ananinywa mimi Iokote! Taratibu ukiiona chini tena ipake na mafuta iwe softi ikiingia mwilini Iokote! Kasongo miksa mundende nikupeleke hadi Bukoba katerero ndembe ndembe Iokote! Wananiita Mandingo mzee baba kwenye ulingo navunja mpaka chaga Kwa kichomi nikande Kwa moto baridi zigande Kama ruba nigande Tuwe wote eeh Aah come baby come bae Msumari kwa nyundo nigonge Ohh Monday to Sunday, I love you Mmm ooh basi iokote Sio kwa bedi kwa kochi kitanda naichumia Iokote Nikiona kwa juu chini naizamia iokote Sungura nipe karoti Marage sijazoea iokote Nakunja goti napandisha mori Nachechemea (Oooh yeah beiby, beiby) Ukitoka kuoga nitengee, ya moto moto Tingaa moka kitenge, tutoke mtoko Aah, border kwa border tutembee, chocho kwa chocho Tena nikichoka nibebe, mi kwako mtoto (Aiyee eh) Ah fundi wa chemba hudambwi dambwi, aeee Amri ya sita ni dhambi dhambi, nayee Kileleni toa rambi rambi Mmm mambo ni moto moto Refa kakupa penalti ayeee Mpira ushawekwa kati ayee Nahitaji magoli kwa chenga zako piga shuti nikudakie Haya maji wapi nimwage, Kama amepigwa na shoti si amebandika marage, so njoo uimenye karoti Naona mbuzi kagoma, sasa unaikanyaga noti Na bado hujakoma chunga, utaloa ukiichezea Coke Kasongo miksa mundende nikupeleke hadi Bukoba katerero ndembe ndembe Wananiita Mandingo mzee baba kwenye ulingo navunja mpaka chaga Mmm ooh basi iokote Kwa bedi kwa kochi Kitanda naitumia iokote Nikiona kwa juu chini naizamia iokote Sungura nipe karoti Marage sijazoea iokote Nakoza goti napandisha mori Nachechemea