Vimambo vyangu natupa kule Sinegeng'eneki nikafa bure Kwako ni mfu msukule Kwa baby yake piga kelele Mi hali yangu mbona shwari baby wee Niko jikoni nasonga ugali Uje ule baba we Roho yangu safi Mungu kanipa Ninachotaka kwa wakati na, Enjoy Sitaki kuwa Mswati nimeridhika Michepuko na Mwendokasi bye bye Mpaka naunguza mboga Ayo maneno yako yalivyokuwa matam Nahisi kuwa muoga maana nina wivu Na ndo ushanshika patamu Wanajua tunavyopendana Mi nawe wanaona wivu Ah tunavyopendana Wanajua tunavyopendana Mi nawe wanaona wivu Ah tunavyopendana Wanajua nilivyoshibana nawe Ndo mana wanaona wivu Tunavyopendana oh oh oh Wanajua tunavyopendana Me na we wanaona wivu Tunavyopendana Ntafuga kijini nkuroge usitoke yani Uwe na Mimi tu ndani Uwe na mimi mwandani aii wewe Nshakolea penzi me nipo mahabani Sipingi sibishani We ndo wakwangu Mimi nielewee Uzuri hutaki pochi, hutaki noti Na sishushi bendera ikawa nusu mlingoti Benzema Mess pasi kwa pasi mi na wewe Mpaka naunguza mboga Ayo maneno yako yalivyokuwa matamu Nahisi kuwa muoga maana nna wivu Na ndo ushanshika patamu Wanajua tunavyopendana Mi nawe wanaona wivu Ah tunavyopendana Wanajua tunavyopendana Mi nawe wanaona wivu Ah tunavyopendana Wanajua nilivyoshibana nawe Ndo mana wanaona wivu Tunavyopendana oh oh oh Wanajua tunavyopendana Me na we wanaona wivu Tunavyopendana oh Tunavyopendana