Baby all I want is for you to be here If sun goes down you know Imma still be here Penzi la ujazo lijae mpaka pomoni Wawili kama macho, only me and you (me and you) Nishajitoa mie Sadaka, nitakufuata kila Kona Kama Gari ndiyo lishawaka, usijali ata wakinon'gona Future yetu ndiyo ishajengeka, kwa mbali kama naiona You're my one and only true love, nisha-verify we ni noma Never ever ever ever leave you alone Nitakung'ang'ania mpaka mwisho Never ever ever ever leave you alone Wewe na me, niwe na wewe mpaka kifo Never ever ever ever leave you alone Baby mpaka mwisho Never ever ever ever leave you alone Oooh oooh yeeeah Umeniganda -Ganda, kuku usiniache kifaranga Umeniwa-wa-washa, kama ni nazi ishakoleaga KaMoyo kangu umeshakateka Usije niacha me pekeyangu nitateseka Ukiwa mbali natetereka, ubaridi unavyoniganda natetemeka Nishajitoa mie Sadaka, nitakufuata kila Kona Kama Gari ndiyo lishawaka, usijali ata wakinon'gona Future yetu ndiyo ishajengeka, kwa mbali kama naiona You're my one and only true love, nisha-verify we ni noma Never ever ever ever leave you alone Nitakung'ang'ania mpaka mwisho Never ever ever ever leave you alone Wewe na me, niwe na wewe mpaka kifo Never ever ever ever leave you alone Baby mpaka mwisho Never ever ever ever leave you alone Oooh oooh yeeeah