Kishore Kumar Hits

Ney Wa Mitego - Muziki Gani şarkı sözleri

Sanatçı: Ney Wa Mitego

albüm: Muziki Gani

(QS) True Boy, True Boy (Productive Records)
In the building baby, True Boy (Wasafi)

Hivi nyi' ma-MC mnachoimba kitu gani?
Mara bangi, mara matusi, sa' ndo' muziki gani?
Hii ni Hip-Hop, H.O.P (True Boy) kwa sisi wa burudani (argh)
Tushachoshwa kutwa mapenzi, kabane pua nyumbani
Hivi nyi' ma-MC mnachoimba kitu gani?
Mara bangi, mara matusi, sa' ndo' muziki gani?
Hii ni Hip-Hop, H.O.P (True Boy) kwa sisi wa burudani (argh)
Tushachoshwa kutwa mapenzi, kabane pua nyumbani
Hata bibi yangu mi' aliniambia, mwanamke anahitaji kubembelezwa
Kupetipeti matunzo pia, ukienda rafu utampoteza
Muziki ni mfano wa binti muzuri
Na ndio maana namtunza kwa vazi na uturi
Aah, piga kimya, we ndo haufai kabisa hauna maana
Wabana pua kila siku mnarogana
Bibi yako alikuambia muziki ni kama binti
Mbona unawachezea unawatema kama big G
Mara Wema, mara Jokate, mara Naj
Mara Penny, je mnafanya mziki mpate mabinti?
Ooh, hata wazee wazamani, walishasemaga kazi na dawa
Cha muhimu jukwaani, ni kuhakikisha wanapagawa
Kwa michezo ya kuringa ringa, ndo huwa wanadata
Badilika usiwe mjinga, utawakamata
Hivi nyi' ma-MC mnachoimba kitu gani?
Mara bangi, mara matusi, sa' ndo' muziki gani?
Hii ni Hip-Hop, H.O.P (True Boy) kwa sisi wa burudani (argh)
Tushachoshwa kutwa mapenzi, kabane pua nyumbani
Hivi nyi' ma-MC mnachoimba kitu gani?
Mara bangi, mara matusi, sa' ndo' muziki gani?
Hii ni Hip-Hop, H.O.P (True Boy) kwa sisi wa burudani (argh)
Tushachoshwa kutwa mapenzi, kabane pua nyumbani
Muziki wenu ushirikina ndio umetawala
Q chilla analalama anasema umemroga
Mganga wako aliekutoa umemkimbia hujalipa
Bila scandal za magazeti basi huskiki
Ah, mi' ni mti wenye matunda, milele siogopi kupigwa mawe
Ubaya wenu wengi kayumba, elimu mliitupa sandakalawe
Bado hujanishawishi, bongo fleva inanipa kichefu chefu
Kwanza nyie malimbukeni wa umaarufu, mnalenta maringo mpaka kwa mashabiki
Wabana pua nyie watoto sio riziki
Mnavaa nguo za dada zenu, zinawabana mapaja nyie makaka duu
Aah, nyie watoto mchele mchele (hayo matusi bwana)
Kwenye show viuno mbele mbele (mbona unatutukana)
Aah, nyie watoto mchele mchele (hayo matusi bwana)
Kwenye show viuno mbele mbele
Nimewanyamazisha, brazameni vipi we bado unabisha?
Hata mi' n'namengi n'nayajua
Ila we ni mtemi utaanzisha utata
Michezo yenu kutoboa pua
Bora ninyamaze usinipige mbata
Hivi nyi' ma-MC (MC) mnachoimba kitu gani?
Mara bangi, mara matusi, sa' ndo' muziki gani?
Hii ni Hip-Hop, H.O.P (True Boy) kwa sisi wa burudani (ah, wapi?)
Tushachoshwa kutwa mapenzi, kabane pua nyumbani
Hivi nyi' ma-MC mnachoimba kitu gani?
Mara bangi, mara matusi, sa' ndo' muziki gani?
Hii ni Hip-Hop, H.O.P (H.O.P eh) kwa sisi wa burudani
Tushachoshwa kutwa mapenzi, kabane pua nyumbani

Ha-ha-ha, umepaniki brother
Aah wapi? Nani kapaniki? Acha uoga dogo

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar