Kishore Kumar Hits

Ney Wa Mitego - Itafahamika şarkı sözleri

Sanatçı: Ney Wa Mitego

albüm: Muziki Gani


(Oh, yeah, ah-ah)
Again (party baby), again (party baby) (mkong'oto jazz band)
Manzese army
Waliopanda wameshuka (oh)
Wanatetemeka, wanaangaika (oh, oh)
Hawana pakujishika, sijui walibahatisha
Itafahamika jana ilikuwa zamu yao, leo imeshakula kwao (eeh)
Waliopanda wameshuka (oh)
Wanatetemeka, wanaangaika (oh, oh)
Hawana pakujishika, sijui walibahatisha (ah)
Itafahamika jana ilikuwa zamu yao, leo imeshakula kwao
Sitaki elimisha, sitaki fundisha, wala sitaki potosha ila nataka wakosha
Hivi utajisikiaje siku unapewa taarifa mwenyewe unathibitisha kwamba babako ni shoga (aah)
Kuwa jasiri acha uoga, baada ya mzozo kipigo, dawa ya moto ni moto, amini we bado mtoto
Ushamuulza mama 'ako alichompendea baba 'ako, mbona anasura mbaya babako
Au mamako alipenda hela kwa babako? (Ah)
Acha niuite mapepe, bongo fleva kicheche
Sister P anauza pipi, Ra-P muhudumu wa gesti
Dudu baya kawa mganga, Mr. Nice anauza shanga
Bongo fleva kicheche, bongo fleva mapepe
Mtoto wa kiume jitume ili uitwe mwanaume
Mbona huna elimu alafu hutaki kazi ngumu?
Basi kuwa shoga ndio kazi isiyo taka elimu
Usiende kuunguza ndumu kama wasanii wa bongo
Eti, bila stimu za bangi hawafanyi show
Wengine bila pombe kichwani hawafanyi show
Siwatofautishi na binti ambaye bado bikra ana mabwana zaidi ya saba na hajapoteza ubikra
Wamepoteza dira
Kikufaacho chako, na cha mwenzako siyo chako
Mamaako siyo ndugu yako (Manzese army)
Baba 'ako ndio mchizi wako
Waliopanda wameshuka (oh)
Wanatetemeka, wanaangaika (oh, oh)
Hawana pakujishika, sijui walibahatisha
Itafahamika jana ilikuwa zamu yao, leo imeshakula kwao (eeh)
Waliopanda wameshuka (oh)
Wanatetemeka, wanaangaika (oh, oh)
Hawana pakujishika, sijui walibahatisha (ah)
Itafahamika jana ilikuwa zamu yao, leo imeshakula kwao
Napiga hatua kwa uhakika kwa macho zinafutika
Mwanzo usiohashiria kama mawingu na mvua
Nilihisi kuacha mziki gemu imejaa mamluki
Wakweli leo ndio fake na fake wana-overtake
Mziki wa bongo umefirika umeshavishwa nepi
Wachache wanawajibika (ndio), wengine wa wapi? Weka pembeni njia zako
Gongi hili funiko niaje wanangu wa getto
Ninawakosha kunako, Hamma Q I love you
Niaje Mzee Yusuph wapeni hi mashoga (mashoga)
Mashabiki mizoga dunia inapande tatu
Sio duara tena, waliomo ndani ni fyatu sio timamu tena
Naikumbuka zamani kipindi cha Majani
Nyimbo kali redioni zilitoka kwa Majani
Ngoma kali top ten alitengeneza Majani
Leo Majani kapuni, Majani gizani
Majani maji shingoni, oya Majani kunani? Eti Majani ndo nani?
Tuzo ya muimba tarabu bora anapewa B12
Ya mwana hip-hop bora anapewa Mamu (Manzese army)
Waliopanda wameshuka (oh)
Wanatetemeka, wanaangaika (oh, oh)
Hawana pakujishika, sijui walibahatisha
Itafahamika jana ilikuwa zamu yao, leo imeshakula kwao (eeh)
Waliopanda wameshuka (oh)
Wanatetemeka, wanaangaika (oh, oh)
Hawana pakujishika, sijui walibahatisha (ah)
Itafahamika jana ilikuwa zamu yao, leo imeshakula kwao
Ha-ha, hawa watu wamechoka vibaya, sijui wameloweka
East Coast team, he-he, hali mbaya wamedondokea pua
Bwana Misosi, ndugu yangu unafanya kazi hotelini wewe, kugawa misosi, eh?
Game imekuwa mbaya vibaya
Inspector Haruni babu, we mtu usisikie kitu ndugu yangu kazi kwako
Zey tu ze B, mwanadada gaidi imekula kwako dada, eh?
Game inakuchemsha vibaya
Itafahamika tu, mnashindwa pa kujishikiza au vipi?
Ah-ha, naomba tusitafutane jameni, huu mtazamo tu!
(Oh, James Diamond untouchable)

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar