Kishore Kumar Hits

Ney Wa Mitego - Nakula Ujana şarkı sözleri

Sanatçı: Ney Wa Mitego

albüm: Muziki Gani

(That's so Cha)
Woyo-wo (QS), woyo, woyo-wo (let's go)
Woyo-wo (let's go), woyo, woyo-wo (MJ Records)
Woyo-wo (let's go), woyo, woyo-wo ('Chali, 'Chali)
Woyo-wo (let's go), woyo, woyo-wo (True boy)
Maisha ni mafupi wanangu tule good time
Weka shida kando twende night time
Maisha ni mipango mafupi ila matamu
Toa mawazo jipe good time
Masela wananijua, nikishalewa nagawa bia
Mademu wananijua, nikishapenda nagharamia
Je unataka mademu vibonge? Ntawapa likizo wembamba
Leo vibonge mtatamba, lakini lazima ujue kukata
Kesho sitaki tena vibonge, nataka mademu wembamba
Kesho wembamba mtatamba lakini lazima ujue kukata
Woyo-wo, woyo-woyo-wo
Woyo-wo, woyo-woyo-wo
Maisha yenyewe mafupi niacheni mi' nile ujana
Nazisaka kwa shida usiku nakesha bar, nakula ujana
Ah, wananiita popo nakesha, nakula ujana
Kujirusha daily sina weekend, nakula ujana
Maisha yenyewe mafupi niacheni mi' nile ujana
Nazisaka kwa shida usiku nakesha bar, nakula ujana
Ah, wananiita popo nakesha, nakula ujana
Kujirusha daily sina weekend, nakula ujana
Ujana maji ya moto muda ndiyo huu
Siku hizi hatuzeeki tunakufa tu
Hey, make more money get more honey
Let's go party, do your thing, don't fear dem
Kuna watu wazima leo wanapenda vijana (leo)
Wanataka mademu zetu (leo) tutapigana (leo), leo, leo
Hii style ya Madee na lete pombe, akimwaga tena tumgonge
Nasema lete pombe akimwaga tena tumgonge
Nichokoze nikudunde nikulipe
Na demu wako nimuibe
Vibabu vyenye hela ndiyo vinaiba mademu zetu
Mapenzi havijui vimechoka lakini kwa kuhonga (woyo-wo, woyo-woyo-wo) ni noma
Woyo-wo, woyo-woyo-wo
Maisha yenyewe mafupi niacheni mi' nile ujana
Nazisaka kwa shida usiku nakesha bar, nakula ujana
Ah, wananiita popo nakesha, nakula ujana
Kujirusha daily sina weekend, nakula ujana
Maisha yenyewe mafupi niacheni mi' nile ujana
Nazisaka kwa shida usiku nakesha bar, nakula ujana
Ah, wananiita popo nakesha, nakula ujana
Kujirusha daily sina weekend, nakula ujana (humo humo)
Nishawateka mademu wakiniona wanapata wazimu
Huwa naweka shida kando nasahau kufa kila kiku good time
Njoeni tule ujana baby's mama hakuna noma
Njoeni tule ujana pia na bwana, hakuna noma
Maisha yenyewe mafupi niacheni mi' nile ujana
Nazisaka kwa shida usiku nakesha bar, nakula ujana
Ah, wananiita popo nakesha, nakula ujana
Kujirusha daily sina weekend, nakula ujana
Maisha yenyewe mafupi niacheni mi' nile ujana
Nazisaka kwa shida usiku nakesha bar, nakula ujana
Ah, wananiita popo nakesha, nakula ujana
Kujirusha daily sina weekend, nakula ujana
Woyo-wo, woyo woyo-wo
Woyo-wo, woyo-woyo-wo
Woyo-wo, woyo-woyo-wo
Woyo-wo, woyo-woyo-wo
(Ahsante, ahsante QJ)
(Ah, warrup now Re-, Mr. Tbad) nakula ujana
(Ah-ha wacha mi test tu bwana)
(Ah, ujana, ujana) nakula ujana
(Tuleni ujana bwana maisha yenyewe mafupi) nakula ujana
(Meki umeona asili au kabla ujafa wewe) nakula ujana
(Unaenda ku-inspect ngoja nikupandie huko) nakula ujana

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar