Kishore Kumar Hits

Webbz - Stayed Down şarkı sözleri

Sanatçı: Webbz

albüm: The Pursuit Of Happiness: A Black Man In AmeriKKKa


Gunia la gomba lingeuzwa jero
Issam touches!
Geof Master!
Zigi nayo ingeuzwa laki
Eeh una akili wewe??
Yeah, let's pretend Ruge president
Hahaha, duh mgombea mwenza awe 20 Percent
Ehee na spika ungemweka Jide, vipi kuhusu FA?
Awe jaji Lubuva, Rungwe ndo Profesa Jay
Let's pretend Zitto Kabwe angekuwa DJ
Hahaha January underground anapiga simu every day
Huku Tale na Fella ni wasanii bosi Maromboso
Inspekta ndo John Boko, mi ndo Juma Nyoso
Michano ingekuwa Alikiba
RnB aimbe Kalapina
Shilole angekuwa ndo Huddah
Mwasiti angekuwa Meninah
Na Jux angekuwa ndo Sugu, viongozi wa vinega
Midundo ya Tamaduni apewe Madee Sneida
Platinum baby, angekuwa ndo Chidi
Halafu Ngororo Ngororo, angeimba Fid
Linah angekuwa producer, Tuddy ndo MC
Basi Baba Levo awe promoter, rapper Ray C
Aah natamani Big G ingeuzwa laki
Gunia la gomba lingeuzwa jero
CCM sare zingekuwa khaki
Chadema wangetinga kijani na yellow
(Una akili wewe??)
Zigi nayo ingeuzwa laki
Gunia la bangi lingeuzwa jero
CCM sare zingekuwa khaki
Chadema nao kijani na yellow
Igundulike Tiffah ni mtoto wa Linex na Zari
Sawa
Jacqueline Wolper ndo alikuwa dalali
Halafu?
Jokate Kidoti ye aje kuwa askari, Petty Money awe wakiri hakimu Dimpo Omari
Waza Wema Sepetu nae kaolewa na Kimbunga
Kimbunga!?
Salama J ndo mjane wa Kanumba
Mtoto wa Mwamnyange na Msaga Sumu wachumba
Ben Pol ngoma ya Sophia angeimba kama Tunda
Okay, Mrisho mpoto angekuwa PHD
Angeburuzaga totoz kinyama
Huku Kala Jeremiah yuko THT
Hayo yangekuwa mafunzo ya kumfunika TID Mnyama
Umeshawaza Ney Wa Mitego anafagia barabara
Barabara?!
Mr Blue nae awe konda wa daladala
Halafu na mzee Majuto ndo dingi yake Riz One
Mourinho atupwage Yanga na Mkwasa afundishe imani
Aah natamani Big G ingeuzwa laki
Gunia la gomba lingeuzwa jero
CCM sare zingekuwa khaki
Chadema wangetinga kijani na yellow
(Una akili wewe??)
Zigi nayo ingeuzwa laki
Gunia la bangi lingeuzwa jero
CCM sare zingekuwa khaki
Chadema nao kijani na yellow
Umeshawaza Izzo B amuazime rasta Afande?
Nawaza Masogange amuazime tako Dyna Nyange (heheheh)
Roma hizo akili za bange
Je vipi Watengwa wakimpiga Tunda mande?
Dauda Shafii angekuwa Messi
Ronaldo ndo Edo Kumwembe
Wajuma Khaji angekuwa msanii
TB Joshua angekuwa Mwakyembe
Na bado nawaza Diva angekuwa mchepuko wa Mengi (aya ya ya mama yangu)
Tungeona mengi
Natamani Big G ingeuzwa laki
Gunia la gomba lingeuzwa jero
CCM sare zingekuwa khaki
Chadema wangetinga kijani na yellow
(Una akili wewe??)
Zigi nayo ingeuzwa laki
Gunia la bangi lingeuzwa jero
CCM sare zingekuwa khaki
Chadema nao kijani na yellow
Tongwe Records!
We hizo ajenda zako hizo, Big G laki?!
Rizla zingekuwa zinauzwa laki wangetumia hata magazeti
Yoh, Baghidibi dabi dibi dabi dibi dabi dei
Viva Roma Viva
Wassup Daddy Bizze, Daudi Lucas, Picassa
Acha wivu Issam Sachi wewe

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar