Kishore Kumar Hits

Papi Clever & Dorcas - Damu yako yenye baraka şarkı sözleri

Sanatçı: Papi Clever & Dorcas

albüm: AMENIWEKA HURU KWELI (Nyimbo za wokovu) ALBUM 2


Damu yako yenye baraka inayo tuosha makosa
Ilitoka msalabani bwana Yesu, ulipokufa
Nastahili 'pata hukumu, na siwezi mimi kujiosha
Unioshe katika damu, nipate kuwa safi kabisa
Safi, safi kweli
Safi, safi kweli
Unioshe katika damu
Nipate kuwa safi kabisa
Safi, safi kweli
Safi, safi kweli
Unioshe katika damu
Nipate kuwa safi kabisa

Yesu, ulivikwa miiba, kuangikwa juu ya mti
Ulivumilia mateso, maumivu na majeraha
Ninataka kijito hicho, n'ende na nikasafishwe sana
Unioshe katika damu, nipate kuwa safi kabisa
Safi, safi kweli
Safi, safi kwei
Unioshe katika damu
Nipate kuwa safi kabisa
Safi, safi kweli
Safi, safi kweli
Unioshe katika damu
Nipate kuwa safi kabisa

Baba, kweli nina makosa, moyo wangu wa udhaiffu
Mimi mwenye dhambi rohoni nitaona wapi Mwokozi?
Yesu, kwako msalabani naja, ninakuamini sasa
Unioshe katika damu, nipate kuwa safi kabisa
Safi, safi kweli
Safi, safi kweli
Unioshe katika damu
Nipate kuwa safi kabisa
Safi, safi kweli
Safi, safi kweli
Unioshe katika damu
Nipate kuwa safi kabisa
Bwana, nimefika karibu, unilinde kwako milele
Ufungue kila kikamba, unijaze moyo mwenyewe
Na karibu ya msalaba nitakaa hata kufa kwangu
Unioshe katika damu, nipate kuwa safi kabisa
Safi, safi kweli
Safi, safi kweli
Unioshe katika damu
Nipate kuwa safi kabisa
Safi, safi kweli
Safi, safi kweli
Unioshe katika damu
Nipate kuwa safi kabisa
Unioshe katika damu
Nipate kuwa safi kabisa
Unioshe katika damu
Nipate kuwa safi kabisa

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar