Kishore Kumar Hits

Healing Worship Team - Komesha Uoga şarkı sözleri

Sanatçı: Healing Worship Team

albüm: Komesha Uoga


Komesha uwoga, uwoga wa maisha
Na utukumbushe, kuwa wewe ni baba yetu,
Fedha na dhahabu yote ni mali yako,
Uwoga ni wa nini, tena wewe ni baba yetu
Komesha uwoga, uwoga wa maisha
Na utukumbushe kuwa wewe ni Baba yetu,
Fedha na dhahabu yote ni mali yako,
Uwoga ni wa nini, tena wewe ni Baba yetu,
Wakuu wa giza wametawala dunia hii, (wakifundisha kutoamini neno)
(Kuwa sisi tu waridhi, wa mali ya Baba yetu)
Wakuu wa giza wametawala dunia hii, (wakifundisha kutoamini neno)
(Kuwa sisi tu waridhi, wa mali ya Baba yetu)
Mungu ni Baba yetu, nasi tu watoto wake
Kwa hiyo sasa sitaogopa jaribu lolote,
Ninaye Mungu muweza yote anayenipenda
Mungu ni Baba yetu, nasi tu watoto wake

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar