Kishore Kumar Hits

NDOVU KUU - ADABU şarkı sözleri

Sanatçı: NDOVU KUU

albüm: ADABU


Msichana mrembo ndiye alinifunza adabu
Nilicheki urembo kumbe ye huchimba dhahabu
See alienda na wao saa mapenzi ni history
Thought we were together basi jokes on me
Nilikosea wapi nieleze show me
Alisema nitulie wasnt even bout me
Playing tricks on me
Walae siamin
Nawika ndani ya klabu eti drinks on me
Kumbe we ni taabu
Na ukanifunza adabu yeaaaaaahh
Polisi mi ni polisi
Mi ni polisi wa mapenzi insecure
Ivo ndio nilihisi
Baby do you miss me
And i know everybody knocking at your door
Usingizi sio rahisi
And im huuurting
But im a man swezi lia ni taboo so na vumilia (Vumilia)
But on her end
Mwanaume bila pesa sio kitu anakimbilia
Walae we nlikupenda i swear
Whenever you needed me nilikuwa rada right there
Its unfair ulinitenda i swear
Somo la muhimu sana hilo
Msichana mrembo ndiye alinifunza adabu
Nilicheki urembo kumbe ye huchimba dhahabu
See alienda na wao saa mapenzi ni history
Thought we were together basi jokes on me
Nilikosea wapi nieleze show me
Alisema nitulie wasnt even bout me
Playing tricks on me
Walae siamin
Nawika ndani ya klabu eti drinks on me
Kumbe we ni taabu
Na ukanifunza adabu yeaaaaaahh
Hooow could ive been so lame
My mind you were controlling
Nilionywa pia na wale
Msiba wa kujitakia huna pole
And so im bleeding lonely
Hizi vidonda healing slowly
Tulikuwa mimi na wewe
Sasa wao husema huyu na yule
Hooow (So lame)
My mind (Controlling)
Nilionywa pia na wale
Kwani huu msiba huna pole
Msichana mrembo ndiye alinifunza adabu
Nilicheki urembo kumbe ye huchimba dhahabu
See alienda na wao saa mapenzi ni history
Thought we were together basi jokes on me
Nilikosea wapi nieleze show me
Alisema nitulie wasnt even bout me
Playing tricks on me
Walae siamin
Nawika ndani ya klabu eti drinks on me
Kumbe we ni taabu
Na ukanifunza adabu yeaaaaaahh

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar