Kishore Kumar Hits

Fathermoh - Kaskie Vibaya şarkı sözleri

Sanatçı: Fathermoh

albüm: Kaskie Vibaya


Man base
Aha
(Ssaru) aha
(Murder)
(Black market records)
Ati, chemi chemi za uongo
Story za jaba ndio utingize ubongo
Ndio ubebe, ka' walleti za kamongo
Bari-bari-barabara bana maringo (ringo)
Niko na pesa kushinda babako
Kaskie vibaya huko kwenu (kaskie kaskie)
Kaskie vibaya huko kwenu (aaii wewe)
Kaskie vibaya huko kwenu
Uh, Niko na pesa na ni za babako
Kaskie vibaya huko kwenu (kaskie kaskie)
Kaskie vibaya huko kwenu
Kaskie vibaya huko kwenu
Uh
Nilifika jiji nkakutana na budako
Akaniambia ka ni vako
Hapendangi za mamako (how?)
Kisiri siri tukakutana kwako
Ni click click bang tu juu ya kitanda chako
Uh, hamna
Hela ni nyi mnateseka
Nini unalipa madeni na pochi yako
Miaka ni ishirini huko chini sitini na
Mneti unatuvunjia mgongo
Ulinipa kachance na nikapita nako
Uliponipiga intro siku ya introduction
Anani-finance na school fees zako
Alinipeanga info kwanza ye' si babako
Unapenda wababa
Huonei watoto wako huruma?
One shot
Na kwani hupendi utamu wa nduma
Pesa hukutekenya-tekenya sana
We' rudi ukakune wababa wa Duruma
Niko na pesa kushinda babako
Kaskie vibaya huko kwenu (kaskie kaskie)
Kaskie vibaya huko kwenu (aai wewe)
Kaskie vibaya huko kwenu
Uh, Niko na pesa na ni za babako
Kaskie vibaya huko kwenu
Kaskie vibaya huko kwenu
Kaskie vibaya huko kwenu
Najua unaskia vibaya
Mi vibaya?
Eeh vibaya
Nenda zako
Si naenda kwenu
Kwetu wapi?
Kwa babako
Mi si kutusi lakini kudadadeki
Sikudharau lakini we hudunga ndula feki
Uso marangi uko sure hauniseti?
Cake n' bake! Ni quality za Fenty
Ati, chemi chemi za uongo
Story za jaba ndio utingize ubongo
Ndio ubebe, ka walleti za kamongo
Bari-bari-barabara bana maringo (ringo)
Niko na pesa kushinda babako
Kaskie vibaya huko kwenu (kaskie kaskie)
Kaskie vibaya huko kwenu (aai wewe)
Kaskie vibaya huko kwenu
Uh, Niko na pesa na ni za babako
Kaskie vibaya huko kwenu (kaskie kaskie)
Kaskie vibaya huko kwenu
Kaskie vibaya huko kwenu
Madness (madness)

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar