Kishore Kumar Hits

Fanuel Sedekia - Rafiki şarkı sözleri

Sanatçı: Fanuel Sedekia

albüm: Uwepo Wako Umenifunika


Nataka wewe rafiki ako nikujue nikujue
Nataka niwe karibu nawe nikujue nikujue
Nataka nikujue sana ili niwe nayo amani ndipo hayo mema yatakapo nijia mimi
Wengine wanataja magari na farasi bafarasi
Lakini mimi nitaritaja jinalako Bwana wangu

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar