Dunia ya sasa ni ya mabadiliko Ya sayansi uchumi na utamaduni Ila nina ujumbe kwalo kanisa Injili ya Yesu haibadiliki ×2 Hata kama dunia ya sasa ndiyo hiii Bado twakuletea injili ile halisi Ile ya Yesu mwenyewe nao mitume Uweza wa Mungu uletao wokovu ×2 Injili yake Yesu nao mitume Ilifungua wagonjwa watu nao waliokoka Tena imetuletea tumaini milele Nasi twakuletea injili hiyohiyo ×2 Hata kama dunia ya sasa ndiyo hiii Bado twakuletea injili ile halisi Ile ya Yesu mwenyewe nao mitume Uweza wa Mungu uletao wokovu ×3 Tena ime