Kishore Kumar Hits

Fanuel Sedekia - Mvua Ya Baraka şarkı sözleri

Sanatçı: Fanuel Sedekia

albüm: Uwepo Wako Umenifunika

Nimemuona Bwana
Nimemuona Mfalme
Nimenyeshewa
Na mvua ya baraka
Nimemuona Bwana
Nimemuona Mfalme
Nimenyeshewa
Na mvua ya baraka
Ameniambia
Mambo ya maisha yangu
Nimenyeshewa na mvua ya baraka
Ameniambia
Mambo ya maisha yangu
Nimenyeshewa na mvua ya baraka
Katika uwepo wake kuna ukamilifu furaha na amani vimekamilika

(Nimenyeshewa) nimenyeshewa na mvua ya baraka

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar