Kishore Kumar Hits

Angela Chibalonza Muliri - Uliniumba Nikuabudu şarkı sözleri

Sanatçı: Angela Chibalonza Muliri

albüm: Yahwe Uhimidiwe


Haleluya! uliniumba nikuabudu Bwana.
Uliniumba nikuabudu.(uliniumba nikuabudu)
Kwajili yako mimi naishi(uliniumba nikuabudu)
Pasipo wewe nisingekuwepo(uliniumba nikuabudu)
Mimi ni kazi ya mikono yako(uliniumba nikuabudu)
Baba nimeona nikuabudu; maana matendo yako nimengi sana
Ishara zako Baba ni nyingi mno
Maana wewe ndie mungu wangu
Uliumba nisema matendo yako
Wewe ndie Mungu wa miungu eeeeee!
Haleluya Baba; wewe kimbilio letu na ngome yetu
Hakuna alie kama weweeee
Uliniumba nikuabudu(uliniumba nikuabudu)
Posipo wewe mimi singekuwepo(uliniumba nikuabudu)
Kama sio wewe nisingeliishi(uliniumba nikuabudu)
Kwajili yako mimi naimba(uliniumba nikuabudu)
Maneno yakusema yananikosa
Maana matendo yako niyaajabu
Maana ishara zako ni nyingi mno
Kwamacho nimeona makuu yako
Masikio nimesikia matendo yako
Ndio maana nimetambua yakwamba niliumbwa nikuabudu weeee! Mungu wa mileeeeele
Uliniumba nikuabudu(uliniuba nikuabudu)
Kwaajili yako mimi naishi(uliniumba nikuabudu)
Umenipa sauti nikuimbie(uliniumba nikuabudu)
Hata watu wote wanajua(uliniumba nikuabudu)(uliniumba .ikuabudu)
Ninasema uliniumba(uliniumba nikuabudu)
Wewe ni nuru ya maisha yangu(uliniumba nikuabudu)
Wew ni mwamba waimani yangu(uliniumba nikuabudu)
Halleluya! Yesu mataifa yote ya dunia njoo tumwimbie Bwana maana fadhili zake ni za milele
Daudi anasema hata wakati moyo wangu unakuwa na uohga ni kwako Mungu wangu najileta maana hakuna alliekutumikia akapoata haya halleluuya Yesu ni mfalme

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar