Kishore Kumar Hits

Angela Chibalonza Muliri - Yahwe Uhimidiwe şarkı sözleri

Sanatçı: Angela Chibalonza Muliri

albüm: Yahwe Uhimidiwe


Yahwe Uhimidiwe
Uaminifu wako umejulikana
Kwa mataifa yote ya ulimwengu, Yahweh
Yahwe Uhimidiwe
Uaminifu wako umejulikana
Kwa mataifa yote ya ulimwengu, Yahweh
Uliumba lakini haukumbwa
Jina lako jemedari, ninakuinua
Jina lako mkombozi, ninakupenda
Umefuta jina langu kwenye hukumu
Umefuta jina langu kwenye laana
Ndio maana nakuina Mungu wangu ee
Kwa sababu siko tena chini ya dhambi ee
Yahweh Uhimidiwe
Halleluyah
Uaminifu wako umejulikana
Halleluyah Yahwe
Kwa mataifa yote ya ulimwengu, Yahweh
Ooh Yahweh
Yahwe Uhimidiwe
Uhimidiwe baba ee
Uaminifu wako umejulikana
Halleluyah
Kwa mataifa yote ya ulimwengu, baba Yahweh
Kama si wewe Yesu ningeitwa nani?
Kama si wewe Yesu Ningekuwa wapi?
Kama si wewe Yesu ningeenda wapi?
Kama si wewe Baba ningesema nini?
Asante Bwana Yesu kwa ukombozi
Asante Bwana Yesu Kwa wokovu
Ndio maana nakuinua Mungu wangu
Umeniokoa mimi kwa damu ya bei
Umenitendea mambo ya ajabu
Ninakuinua Baba yahweh
Yahweh Uhimidiwe
Halleluyah baba oh
Uaminifu wako umejulikana
Kwa mataifa
Kwa mataifa yote ya ulimwengu, ya ulimwengu Yahweh
Yahweh
Yahwe Uhimidiwe
Uhimidiwe maishani mwangu
Uaminifu wako umejulikana
Halleluyah baba ee
Kwa mataifa yote ya ulimwengu, Yahweh
Majina yote mazuri ni yako baba
Unaitwa Jehova shammah, ninakupenda
Unaitwa Jehova Jehova Jireh, ninakupenda
Unaitwa Jehova Nissi bendera ya ushindi wangu
Asante Baba yangu kwa upendo wako
Hakuna Mwingine kama wewe
Hakuna Mwingine kama wewe
Ninakupenda Baba yangu
Yahwe Uhimidiwe
Uaminifu wako umejulikana
Kwa mataifa yote ya ulimwengu, Yahweh
Yahwe Uhimidiwe
Uaminifu wako umejulikana
Kwa mataifa yote ya ulimwengu, Yahweh
Yahwe Uhimidiwe
Uaminifu wako umejulikana
Kwa mataifa yote ya ulimwengu, Yahweh
Yahwe Uhimidiwe
Uaminifu wako umejulikana
Kwa mataifa yote ya ulimwengu, Yahweh

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar