Mwambie Yesu,
Mwambie.
Mwambie Yesu,
Mwambie.
Anaweza yote Yesu,
Mwambie
Atakushindia Yesu
Mwambie.
Heeh.
Mwambie Yesu,
Mwambie.
Mwambie Yesu,
Mwambie.
Anaweza yote Yesu,
Mwambie.
Atakushindia Yesu
Mwambie.
Mwambie Yesu,
Mwambie.
Mwambie Yesu,
Mwambie.
Anaweza yote Yesu,
Mwambie.
Atakushindia Yesu
Mwambie.
Usitishwe na shida ndugu,
Wala Magonjwa.
Iwe ni kupungukiwa fedha,
Hayo yote ni kwa muda tu.
Ni lazima ujipe moyo,
Yo Yo Yo Yo
Umwamini Mungu wako,
Anaweza kukufanikisha,
Anafanya njia pasipokua na njia.
Mwambie Yesu Eh.
Mwambie Yesu,
Mwambie.
Mwambie Yesu,
Mwambie.
Anaweza yote Yesu,
Mwambie.
Atakushindia Yesu
Mwambie.
Mwambie Yesu,
Mwambie.
Mwambie Yesu,
Mwambie.
Anaweza yote Yesu,
Mwambie.
Atakushindia Yesu
Mwambie.
Wakati mwingine ndugu,
Umeshindwa hata kuomba,
Moyo wako mzito sana una huzuni sana moyoni.
Nakuambia usife moyo.
Oh Oh Oh Oh.
Umuachie Mungu wako,
Ataondoa huzuni yote,
Yeye ni Mungu wa amani atakupa amani yake.
Atakupa furaha yake moyoni,
Telee.
Yeeh, Mwambie Yesu.
Mwambie Yesu,
Mwambie.
Mwambie Yesu,
Mwambie.
Anaweza yote Yesu,
Mwambie.
Atakushindia Yesu
Mwambie.
Mwambie Yesu,
Mwambie.
Mwambie Yesu,
Mwambie.
Anaweza yote Yesu,
Mwambie.
Atakushindia Yesu
Mwambie.
Hata elimu yako wewe,
Haiwezi kukusaidia,
Umaarufu wako,
Hauwezi kukusaidia,
Hata ukiwa tajiri,
Ni bure tu baba.
Hata fedha ulizonazo,
Kisomo ulichonacho,
Haviwezi kukusaidia kitu chochote mama,
Muombe Mungu wako anaweza kufanya yote.
Elelelee
Mwambie Yesu wako.
Mwambie Yesu,
Mwambie.
Mwambie Yesu,
Mwambie.
Anaweza yote Yesu,
Mwambie.
Atakushindia Yesu
Mwambie.
Mwambie Yesu,
Mwambie.
Mwambie Yesu,
Mwambie.
Anaweza yote Yesu,
Mwambie.
Atakushindia Yesu
Mwambie.
(End)
Поcмотреть все песни артиста