Kishore Kumar Hits

UPENDO NKONE - Usifurahi Juu Yangu şarkı sözleri

Sanatçı: UPENDO NKONE

albüm: Hapa Nilipo


Sifurahi juu yangu eeeh adui yangu,
(Niangukapo mimi nitasimama tena)
Kumbuka niwapo gizani bwana nuru
Yangu,
(Hawezi kuniacha bwana mimi niangamie)
Usifurahi juu yangu eeeh adui yangu, (niangukapo mimi nitasimama tena) kumbuka niwapo gizani bwana ni nuru yangu.
(Hawezi kuniacha bwana mimi niangamie),
Ujue kwa maombi yako nitabarikiwa,
Si vema kunisema vibaya nipatapo tatizo, (shetani wampa nafasi ndani ya moyo wako)
Kumbuka kwa maombi yako nitasimama tena. (na utapata baraka kutoka kwake Mungu)
Si vema kunisemasema vibaya nipatapo tatizo.
(Shetani wampa nafasi ndani ya moyo wako)
Kumbuka kwa maombi yako nitasimama tena.
(Na utapata baraka kutoka kwake Mungu)
Mana heri mtu yule ambaye kinywa chake.
(Huwabariki wenzake na kuwaombea) maana maneno mabaya huuchafua moyo. (kukuweka mbali na Mungu ni vema uwe safi.)
Ukiona nipo kwenye shida niombee,
Ndoa yangu imevunjika wewe niombee, nikifukuzwa kazini ndugu niombee, magonjwa yananiandama niombee, biashara haina faida niombee,
Nikikawia kupata mtoto nimbee, nimekuwa mtoto yatima niombee,
Hata nijapokuwa mjane niombee,
Ujue kwa maombi yako mimi nitasimama tena,
Ujue kwa maombi yako nitabarikiwa,
Ujue kwa maombi yako miminitasimama tena,
Ujue kwa maombi yako nitabarikiwa,

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar