Kishore Kumar Hits

UPENDO NKONE - Hapa Nilipo şarkı sözleri

Sanatçı: UPENDO NKONE

albüm: Hapa Nilipo


Eeeee eeee eee!!
Uuuuuuu uuuu!!
Hapa nilipo
Ni kwa neema yako tu
Nimefika ni kwa nguvu zako tu
Nilipo toka ni mbali sanaaa
Milima na mabonde nimepita mimi
Hapa nilipo ni kwa mkono wako tu
Nimefikaaa
Ni Kwa uweza wako tuu
Umenishika mkono Yesu!
Nashukuru Bwana!
Mi Nashukuru Nashukuru Yesu
Nashukuru
Wakati mwingine nilizukwa na magonjwa, tabu nyingi,
Na uchumi kudidimia,
Nikapata mateso sanaaa!
Nilizidi kukufuata
Yesuuu
Kwa macho yako
Ya huruma na upendo ukaniona ukasema nisiogope
Ukanitia Nguvu Yesu...!
Ukasema Nijipe moyo wewe uko nami
Nashukuru Yesu
Mimi Nashukuru
Pamoja na mambo mengi niliyopita mimi
Pamoja na mengi ninayopitia sasa
Pamoja na ujane nilionao Mimi hee!!!
Sitaogopaa.! haaa eeee...!!!
Najipa moyo mimi
(Najipa moyo) moyo
(Siku moja nitafika) safari yangu mimi
(Safari yangu mi najua nitafika tu)safari yangu
Naomba uniongozee Bwana
(Najipa moyo siku moja nitafika) uniongozee Bwana
Unilinde na Mabaya yote Baba(safari
Yangu ni najua nitafika tu .) ohhhh!
Kwa kuwa Yesu ni Kiongozi wa safari
Yangu mimi(najipa moyo siku moja nitafika)
Wakati Huu nikiwa ni mjane
Nakutazama
Unifariji moja wangu
Bila wewe mimi Siwezi
Nikiwa na wewe nitashinda
Ninakuomba
Uwalinde wajane wote na uwatunze
Na yatima nao wakutazama
Shughulika na shida zao
Yesu...
Uwapiganie Baba ndiwe nitegemeo na uwatetee.!
Ee Yesu.!
Najipa moyo (najipa moyo siku moja nitafika)
Nanyenyekea kwako yesu(safari yangu)
Niongoze Baba(mi najua nitafika tu)
Naomba unishike kwa mkono wako(najipa moyo siku moja nitafika)
Naomba unilinde mie Baba (safari
Yangu mi najua nitafika tu) mi najipa moyo
Nakuamini yesu
Kwa kuwa Yesu ni kiongozi wa safari yangu mimi ooh!
Najipa moyo siku yangu itafika
Mi bado najipa moyoo.!
(Najipa moyo siku moja nitafika)sijakata tamaa
Ninavumumilia Mambo yotee shida na tabu
(Safari yangu ninajua nitafika tu)
Bado nakutazama YEHOVA
Mi bado najipa moyo
(Najipa moyo siku moja nitafika)
Bado navumilia shida
(Safari yangu mi najua nitafika)najuaaa
Utanioshaa Bwanaa
Kwa kuwa Yesu Ndiye mlinzi wa safari yangu mimi.yeye
(Najipa moyo
Siku moja nitafikaaaaa)

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar